Anahitajika kijana wa kuuza duka (stationary) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahitajika kijana wa kuuza duka (stationary)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwangaza, Dec 28, 2011.

 1. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kuna mtu anahitaji kijana awa kuuza duka/stationary mwenye sifa zifuatazo:-

  -AWE MWAMINIFU
  -awe wa kiume, natayari kufanya kazi mpaka saa 3 usiku.
  -awe anaishi maeneo ya mwenge-dsm, au jilani.
  -ajue kusoma,kuandika na kusabu tu inatosha.


  Akiwa na ufahamu kidog wa computer ni vizuri.

  MASAILIANO: 0754 570060
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu,hautaki demu?
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sh ngap kwa mwez? Ka vp mi nipo tayar
   
 4. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  Kutokana na mazingila ya kazi ni wasichana wachache sana wanaweza.kama yupo aje tumu-interview..tuone kama anaweza!
   
 5. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  haya ni makubariano kati ya mwajili na mwajiliwa.kuna waajiliwa wengine hawapendi mapato yao yawe wazi bila ridhaa yao.
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Then am out.
   
 7. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,859
  Likes Received: 6,313
  Trophy Points: 280
  Ni pm mshahara me npo mwenge nijue kama unalipa
   
Loading...