Anahitajika Kijana wa KIKE kufanya kazi katika Stationery - Morogoro Mjini

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
855
390
Kijana wa kike mwenye ujuzi wa computer na photocopying skills anahitajika Morogoro Mjini.
Awe mchangamfu, mwaminifu, mwenye uwezo wa ku-interact na watu wa rika na aina tofauti bila matatizo, hasa wanafunzi. (Good customer care and communication skills are essential qualities)
Tafadhali ni-PM kwa mawasilano zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom