Anahitajika Fundi wa kushona nguo za kike na kiume

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Habari,
Tunatafuta mafundi wawili wanaoweza kushona vizuri nguo za kike na za kiume. Ofisi ipo Dar es salaam kata ya GOBA wilaya ya ubungo. Ofisi ni mpya. Mwenye connection tuwasiliane inbox. Ahsante
 
Nitafute 0744033555 nikupe connection ya mafundi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom