Habari,
Tunatafuta mafundi wawili wanaoweza kushona vizuri nguo za kike na za kiume. Ofisi ipo Dar es salaam kata ya GOBA wilaya ya ubungo. Ofisi ni mpya. Mwenye connection tuwasiliane inbox. Ahsante
Nitafute 0744033555 nikupe connection ya mafundiHabari,
Tunatafuta mafundi wawili wanaoweza kushona vizuri nguo za kike na za kiume. Ofisi ipo Dar es salaam kata ya GOBA wilaya ya ubungo. Ofisi ni mpya. Mwenye connection tuwasiliane inbox. Ahsante
Kamanda uko vizuri kila konaNitafute 0744033555 nikupe connection ya mafundi
Hahahah!! Kamanda nakaza kila kona hili joto la dar linapawishaKamanda uko vizuri kila kona
safii ni kweli kabisa, hivi unapiga mpaka ishu za kupangisha vyumba?Hahahah!! Kamanda nakaza kila kona hili joto la dar linapawisha
Haupendi kulipia?Ahsante, Vipi nijiandae kulipia connection eeh?