Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahitajika fundi wa computer kampuni iko dodoma

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by EllyMsuya, Apr 9, 2012.

 1. E

  EllyMsuya Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. l

  liverpool2012 Senior Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona number yenyewe haipo hewani.
   
 3. Myelife

  Myelife Senior Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  What about payment? And others terms?
   
 4. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 735
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  Weka payment hapo ,wa2 2one ndo 2kutafte.
   
 5. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 5,797
  Likes Received: 1,371
  Trophy Points: 280
  Inawezekana anajaribu kuangalia kama mafundi wapo! Namba haipo hewani kabisa.
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Najiweza sana ktk h/w na S/w so pls toa maelezo ya kina kama ni kaz ya msimu au ajira?
  Binafsi sitaki kuajiriwa maybe iwe proved kwamba ntalipwa USD 5000 au zaidi per month plus accomodation na transport.
  Weka yote hapa wazwaz ili upate watu wenye uwezo zaid.
   
 7. E

  EllyMsuya Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeongeza na namba za simu Nyingine na Email na website simu kutopatikana inaweza ikawa ni Mtandao ila pia wapo waliopiga usiku Itapendeza ikiwa wakati wa kazi NB:AKIWA YUKO DODOMA TUNATOA KIPAUMBELE ZAIDI ASANTENI
   
Loading...