Anahitajika Driver na salesman pamoja na mpishi wa mikate kwenye bakery na housegirl

F

FUHRER

Senior Member
Joined
May 29, 2013
Messages
101
Likes
324
Points
60
Age
31
F

FUHRER

Senior Member
Joined May 29, 2013
101 324 60
Eneo la kazi ni Mbezi dare s salaam
Nafasi 1(mwanaume) ; dereva wa gari ya mikate (Noah)
Kazi yake ni kusambaza mikate kwenye maduka ya wateja wetu na kutafuta masoko sehemu nyingine.
Awe na ujuzi na mtunzaji wa gari
Atakuwa na off kuanzia jumamosi baada ya kazi hadi jumatatu asubuhi
Msahara ni maelewano

Nafasi 2. (Mwanamke/mwanaume): Mpishi wa mikate aina zote/kupika na kupamba keki
Kazi yake: kupika mikate/keki kwa kutumia mixer ya 10kg, Prover, na electric oven .
Atakuwa analala hapo hapo na kupewa huduma zote za malazi na chakula kwa siku 6 za wiki.
Atakuwa na off kuanzaia jumamosi jioni hadi jumatatu asubuhi.
Mshahara maelewano

Nafasi 3: msichana wa ndani/ housegirl.
Kazi yake ni kufanya usafi wa nyumba na kupika chakula cha wafanyakazi wa bakery
Mshahara maelewano

Mwenye kuhitaji anipm halafu nitampa maelekezo
 
Josze Zefania

Josze Zefania

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2017
Messages
1,374
Likes
962
Points
280
Josze Zefania

Josze Zefania

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2017
1,374 962 280
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
2,687
Likes
2,210
Points
280
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
2,687 2,210 280
et anaishi hapohapo lakini atapewa chakula siku sita za Kazi
 
jackson exavery

jackson exavery

Member
Joined
Mar 8, 2017
Messages
19
Likes
10
Points
5
Age
22
jackson exavery

jackson exavery

Member
Joined Mar 8, 2017
19 10 5
Eneo la kazi ni Mbezi dare s salaam
Nafasi 1(mwanaume) ; dereva wa gari ya mikate (Noah)
Kazi yake ni kusambaza mikate kwenye maduka ya wateja wetu na kutafuta masoko sehemu nyingine.
Awe na ujuzi na mtunzaji wa gari
Atakuwa na off kuanzia jumamosi baada ya kazi hadi jumatatu asubuhi
Msahara ni maelewano

Nafasi 2. (Mwanamke/mwanaume): Mpishi wa mikate aina zote/kupika na kupamba keki
Kazi yake: kupika mikate/keki kwa kutumia mixer ya 10kg, Prover, na electric oven .
Atakuwa analala hapo hapo na kupewa huduma zote za malazi na chakula kwa siku 6 za wiki.
Atakuwa na off kuanzaia jumamosi jioni hadi jumatatu asubuhi.
Mshahara maelewano

Nafasi 3: msichana wa ndani/ housegirl.
Kazi yake ni kufanya usafi wa nyumba na kupika chakula cha wafanyakazi wa bakery
Mshahara maelewano

Mwenye kuhitaji anipm halafu nitampa maelekezo
Vipi ameshapatikana au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,274,099
Members 490,586
Posts 30,501,008