Anahitajika afisa masoko mwenye ujuzi wa uuzaji wa magari

Barya

JF-Expert Member
May 5, 2012
950
1,190
KEVIN ISAYA COMPANY Inayopatikana jijini dsm , makao makuu yake ni KIGAMBONI, inatangaza nafasi moja ya kazi ya afisa masoko kwa upande wa magari na atatakiwa haraka kuanza kazi
MAJUKUMU YAKE
1. kubuni mbinu ya uuzaji wa magari yote yanayoingizwa na kampuni,
2. kutafta wateja na kuzungukia wateja wote wenye mahitaji na magari
3. kutembelea office mbali mbali za serikali na za binafsi ili kupata kuwaeleza wateja juu ya fursa yao kupata magari kwa mkopo na kulipa kidogo kidogo wakidhamininwa ama na ofisi zao au watu wenye vigezo vya kuwadhamini,
4. kutembelea mikoa yote mbali mbali na kujua wateja wanaotaka kuagiza au kununua magari kupitia kampuni yetu
5. kupokea magari yanayoingizwa nchini na kuyapeleka sehem husika kwa kusubiri makabidhiano na wateja
6. Kuyakagua magari yote na kuhakikisha yapo katika hali ya usawa kabla ua kuyakabidhi
7. kuhudhuria vikao na wateja au mikutano ya maonesho , na pia kuhudhuria vikao na uongozi wa kampuni kutoa mrejesho wa kazi ilivyofanyika na kutoa mapendekezo
8. kuandaa report ya mwezi na kuituma kwa mkurugenzi mkuu,

SIFA NA VIGEZO

1. Awe na degree katika ama biashara, mauzo(marketing), uhasibu, usafirishaji au fani yoyote inayoelekeana na hizo,
2.Awe na ujuzi wa kompyuta kwa ufasaha kabisa,
3.Awe na passport yaan pass ya kusafiria maana atalazimika kuwa anaenda nje ya Tanzania mara kadhaa,
4.Awe na lesseni ya gari ,
5.Awe na uzoefu wa miaka isiyopungua miwili kazini
6. 25-30
7. Asiwe na itikadi yeyote ya kichama chochote kile iliyopitiliza inaleta migongano kazini
8. Awe na uwezo wa kuzunguka Tanzania nzima kwa kufanya mauzo, afya iwe nzuri sana .

LENGO LA MAUZO KWA MWEZI

1.Mauzo yatapigwa katika aina mbili
A. Kias kwa mwezi ambacho kitaelezwa kwenye mkataba
B, idadi ya wateja ambao wamepatikana kwa mwezi
hivyo itabidi atimize kimoja wapo
Mshahara na huduma nyinginezo
1. Mshahara ni 1,000,000 kwa mwezi
2. NSSF atachangiwa 10% ya mshahara wake naye atachangia sawa.
3. House allowance,

KAMA UMEKIDHI VIGEZO HIVYO HAPO JUU ANDAA PROPOSAL YA JINSI GANI UTAFANIKISHA KUUZA MAGARI NA MBINU IPI UTAITUMIA KUUZA MAGARI KUWASHINDA WASHINDANI WAKO

Proposal itumwe kwenye kevinissaya@yahoo.com
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 30/10/2016
 
proposal tena ninyi wahuni
 
proposal tena ninyi wahuni
hakuna muhuni mkuu ishu ni kwamba sisi tunafanya business kwa aina iliyozoeleka Tanzania , ila sasa tumekuwa na uwezo wa kupanuka kidogo tunataka kubadili mbinu na kumkasimisha kitengo mtu atakaye kuwa na jukumu la kuuza hayo magari,

Tatizo la vijana wengi hawapendi kuandika na kufikiria, wao wanazunguka na bahasha tu ambazo tiyri wameandaliwa CV na kuforward tu, sasa ishu ni kwamba hapa hakutakuwa na ubabaishaji wala upendeleo mtu atwambie atawezaje kufanya kazi hiyo,

nadhan utakuwa hauna uelewa sana juu ya mambo ya uajiri wa kimataifa, wanataka proposal yako ya jinsi gan utaweza kufanikisha kazi yako, then team inaipitia na kujua ni nan ana faa ,
 
Mimi nifundi Mechanics wa Magali na ni Dereva leceni E,na D.
Nime ingia Japan Mara 3@ miezi 3 kila Tripp kwa jili ya kununua Magali ya Yard na spare part.
Na Nina wateja wa kiasi
Ila sifa ya Degree na Uhasibu sina.
+255754 77 11 77
+255653 00 33 77
Ok
 
Hapo unahitaji kujua proposal ya watu uitukie wewe, maana katika hali ya kawaida mtu akishapata kazi ndo anaitumia hio working plan kufikia malengo yaliyowekwa na kampuni yenu huwezi kupewa idea ya jinsi ya kufanya kitu mfano zimekuja idea 100 mtu anahitajika ni mmoja hizo 99 zinaenda wapi, kitu muhimu ni mtarajiwa wa hio ajira kuonesha kwamba anaouwezo na vigezo vya kuuza sio proposal
 
KEVIN ISAYA COMPANY Inayopatikana jijini dsm , makao makuu yake ni KIGAMBONI, inatangaza nafasi moja ya kazi ya afisa masoko kwa upande wa magari na atatakiwa haraka kuanza kazi
MAJUKUMU YAKE
1. kubuni mbinu ya uuzaji wa magari yote yanayoingizwa na kampuni,
2. kutafta wateja na kuzungukia wateja wote wenye mahitaji na magari
3. kutembelea office mbali mbali za serikali na za binafsi ili kupata kuwaeleza wateja juu ya fursa yao kupata magari kwa mkopo na kulipa kidogo kidogo wakidhamininwa ama na ofisi zao au watu wenye vigezo vya kuwadhamini,
4. kutembelea mikoa yote mbali mbali na kujua wateja wanaotaka kuagiza au kununua magari kupitia kampuni yetu
5. kupokea magari yanayoingizwa nchini na kuyapeleka sehem husika kwa kusubiri makabidhiano na wateja
6. Kuyakagua magari yote na kuhakikisha yapo katika hali ya usawa kabla ua kuyakabidhi
7. kuhudhuria vikao na wateja au mikutano ya maonesho , na pia kuhudhuria vikao na uongozi wa kampuni kutoa mrejesho wa kazi ilivyofanyika na kutoa mapendekezo
8. kuandaa report ya mwezi na kuituma kwa mkurugenzi mkuu,

SIFA NA VIGEZO

1. Awe na degree katika ama biashara, mauzo(marketing), uhasibu, usafirishaji au fani yoyote inayoelekeana na hizo,
2.Awe na ujuzi wa kompyuta kwa ufasaha kabisa,
3.Awe na passport yaan pass ya kusafiria maana atalazimika kuwa anaenda nje ya Tanzania mara kadhaa,
4.Awe na lesseni ya gari ,
5.Awe na uzoefu wa miaka isiyopungua miwili kazini
6. 25-30
7. Asiwe na itikadi yeyote ya kichama chochote kile iliyopitiliza inaleta migongano kazini
8. Awe na uwezo wa kuzunguka Tanzania nzima kwa kufanya mauzo, afya iwe nzuri sana .

LENGO LA MAUZO KWA MWEZI

1.Mauzo yatapigwa katika aina mbili
A. Kias kwa mwezi ambacho kitaelezwa kwenye mkataba
B, idadi ya wateja ambao wamepatikana kwa mwezi
hivyo itabidi atimize kimoja wapo
Mshahara na huduma nyinginezo
1. Mshahara ni 1,000,000 kwa mwezi
2. NSSF atachangiwa 10% ya mshahara wake naye atachangia sawa.
3. House allowance,

KAMA UMEKIDHI VIGEZO HIVYO HAPO JUU ANDAA PROPOSAL YA JINSI GANI UTAFANIKISHA KUUZA MAGARI NA MBINU IPI UTAITUMIA KUUZA MAGARI KUWASHINDA WASHINDANI WAKO

Proposal itumwe kwenye kevinissaya@yahoo.com
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 30/10/2016
Shekh eee magari hujiuza yenyewe
 
ongeza muda wa maombi kwa watu,kuandaa proposal si kitu kidogo

ushauri,siangalie sana degree ya kitu flani ila awe na degree, kna watu wana mawazo ila ukiangalia degree zao ni tofauti kabisaa
 
Mimi nifundi Mechanics wa Magali na ni Dereva leceni E,na D.
Nime ingia Japan Mara 3@ miezi 3 kila Tripp kwa jili ya kununua Magali ya Yard na spare part.
Na Nina wateja wa kiasi
Ila sifa ya Degree na Uhasibu sina.
+255754 77 11 77
+255653 00 33 77
Unasitahili
 
HEY MAMBO VP MKUU , MIE NAFANYA KAZI NA KAMPUNI YA KUUZA MAGARI INAITWA AUTOCOM JAPAN. OFFICE ZETU ZIPO QUALITY CENTER MALL - PUGU ROAD , NINGEPENDA NIONGEE NA WEWE KUHUSU WATEJA WA KUAGIZA MAGARI THEN KUNA COMMISION NZURI TUU
CONTACT 0674 518 707
KARIBU SANA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom