Anahitaji kazi ya kuhudumia kuku au kazi yoyote

vumiliag

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
375
698
Habarini wakuu nna ndugu yangu alikua morogoro kwa sasa karudi singida yupo wilaya ya iramba kihomboi yupo nyumbani anatafuta kazi Iwe Ni ya kuhudumia kuku kwa wale wafugaji au kazi hata za kusafisha nyumba mfano garden na kazi zozote pia ana experience katika kukuaanga chipsi (amewahi kuuza chips mara nyingi tu kama unahitaji muuza chipsi ..... mshahara uanzie laki 1 kwenda mbele kijana ana miaka 27 ni wa kiume nipigie no 0692669235 nikuunganishe naye...Ni kijana mchapa kazi sana

NB: ukimuhitaji unamtumia nauli kukufikia mkoa wowote ule mimi nitakua mdhamini wake in case anything happens
 
Habarini wakuu nna ndugu yangu yupo morogoro mjini katokea mkoa wa mbeya anatafuta kazi Iwe Ni ya kuhudumia kuku kwa wale wafugaji au kazi hata za kusafisha nyumba mfano garden na kazi zozote zile mshahara uanzie laki 1 kwenda mbele kijana ana miaka 27 ni wa kiume nipigie no 0782509366 nikuunganishe naye...Ni kijana mchapa kazi sana
 
Hata kama ni wewe mkuu sisi hatuna noma, tunajua unatafuta mkate wa kila siku
 
Hata ingekua mm isingekua shida mkuu nmesema ndugu yangu sababu ntakua mdhamini wake in case anything happens
 
Habarini wakuu nna ndugu yangu alikua morogoro kwa sasa karudi singida yupo wilaya ya iramba kihomboi yupo nyumbani anatafuta kazi Iwe Ni ya kuhudumia kuku kwa wale wafugaji au kazi hata za kusafisha nyumba mfano garden na kazi zozote pia ana experience katika kukuaanga chipsi (amewahi kuuza chips mara nyingi tu kama unahitaji muuza chipsi ..... mshahara uanzie laki 1 kwenda mbele kijana ana miaka 27 ni wa kiume nipigie no 0692669235 nikuunganishe naye...Ni kijana mchapa kazi sana

NB: ukimuhitaji unamtumia nauli kukufikia mkoa wowote ule mimi nitakua mdhamini wake in case anything happens
Hii nimeikuta mahali, Nadhani wanaweza kufaana.

Habari waungwana.
Nahitaji kijana mmoja wa kazi, umri usiozidi miaka 30, awe anajua kusoma na kuandika, hajaoa, mwaminifu, sio mvivu. Akianza kazi Meals and accommodation ni juu yangu.

Shughuri:
Usimamizi na kuhudumia mifugo, Kuku 1300 na ng'ombe wanne wa maziwa. Hatokua peke yake kwenye shughuri hizo watakua wawili.

Salary ni Tsh 100,000/= na offer tofauti kutegemeana na efficiency yake kazini.

Eneo la Kazi
Masasi mjini, Mkoa wa Mtwara.

Angalizo:-
Asiwe anatokea mikoa ifuatayo Mtwara, Lindi, Tanga.

Lazima awe na udhamini wa watu wawili wa kuaminika.

Kwa mawasiliano +255716002421
Ahsante!
 
Hii nafasi bado ipo Mkuu??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom