Anahitaji Haraka Mtu wa Sales & Marketing - Dar es Salaam

BwanaX

Senior Member
Mar 5, 2015
123
46
Anahitaji kijana wa kike kwajili ya Sales & Marketing mwenye sifa zifuatazo:
  1. Awe na Certificate/Diploma ya Sales/Marketing inayotambulika
  2. Awe na huwezo wa kuongea kingereza/kiswahili vizuri.
  3. Awe na umri usiozidi miaka 30
  4. Awe mkazi wa dar es salaam
  5. Awe na uwezo mkubwa wa kushawishi wateja
  6. Awe na uzoefu wa kazi si chini ya mwaka

Mwenye ujuzi wa masuala ya Security na vifaa vyake atapewa kipaumbele,
Tuma CV yako kwenye conrym.conrym@gmail.com
Simu: 0658 535 800

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom