Anaeweza kuroot HTC na samsung

mkalenda

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
290
23
Habari za asubuhi nahitaji mtu anaeweza kuroot HTC desire 820 na samsung galaxy a8 tafadhal nichek kwa no. 0769038065
 
Habal za hasubuh naitaj mtu anaeweza kuroot htc desire 820 na samsung galaxy a8 tafadhal nichek kwa no. 0769038065

Samsung kuiroot rahisi..tumia framaroot kwa hiyo galaxy yako.

htc itakubid ku unlock bootloader kwanza..hii ndo utabid utafute mtu..akusaidie..

ila kama utapenda kufanya mwenyew nayo ni rahisi tu tunaweza tukakusaidia.
 
Oky so kwa samsung hiyo software inaweza kuroot samsung A8?
Kweli htc nimefuatilia nikaona ivyo unatakiwa kuunlock hiyo kitu nimefuata maelekezo vizur mpaka nikajisajili kwa htc developer website nijatumiwa fail kwenye email yangu itakayo tumika kuunlock hapo ndo nilipo kwamia kuendelea inatakiqa utumie comand kufuata procedure zinazoendelea
NASHUKURU MKUU NAOMBA ZIDI KUNISAIDIA NIKAMISHE
 
nenda google search framaroot apk kisha install kweny simu yako..utachagua option yoyote kati ya tatu utakazozikuta..moja wapo itakubali..ukiona success basi reboot simu kazi itakua imekwisha.

Anza samsung kwanza hiyo.
 
Mkuu inaniletea hii sms ImageUploadedByJamiiForums1444712766.283377.jpg
 
samsung almsot simu zote anaeziroot ni chainfire na njia yake ni kutumia odin. ila kama unapenda urahisi na framaroot imekataa jaribu kingroot
 
na jinsi ya kuformat simu aina ya galxy s4?

jaribu pia root genius

kuhusu s4.

Turn the phone off
Press and hold VOLUME UP and HOME
(middle) button
Press Power until the phone vibrates
Wait until you see the Android logo then
release all buttons
Select Wipe data/Factory Reset with
VOLUME DOWN, press Power (right hand-
side)
Select Yes --delete all user data with
Volume Down and then press Power
After format, press Power again to reboot
Power. (select reboot system now
 
mkuu kwa hizo htc desire 820 haina haja ya ku-unlock bootloader cz mia pia nimeroot yakwangu ambayo ni desire 820s bila ku-unlock bootloader hvyo ww tafuta na udownload brush guru au master's root master version 1.8.0 ya pc kisha install alfu connect cmu kwa pc then root cmu.Hio program iko vry direct ni juc matter of a minute
 
(i) Charge Simu yako, angalao ijae kwa 50%
(ii) Wezesha ‘’Developer Options” kwenye simu
yako. Menu hii imefichwa kwa watumiaji wa kawaida. Sisi tunataka kutumia simu zetu kwa
100%. Sasa kuifichua nenda Settings>About
phone>Build number. Baadhi ya simu (LG na
HTC) nenda Settings>About phone>Software
information>Bui ld number. Ukishafika kwenye Build number gusa hapo mara saba
(tap 7 times)…mpaka uambiwe “You are now a
Developer”
(iii) Sasa nenda Settings>Develo per options>USB debugging. Weka tiki hapo (kama
haipo)
(iv) Nenda settings>Securi ty>Unknown Sources. Weka tiki hapo (Kama haipo).
Hapo maandalizi yatakua ni tayari. Sasa
download KingRoot 4.0 (in MB 6.34) kwa kui
search kwenye Google kisha Install kwenye
simu yako. Baada ya ku install gusa ‘Open’.
Baada ya hapo KingRoot itafunguka na itaitambua simu yako automatically—M odel ya Simu na Toleo lake. (Mf. Model: H6 Android
4.4.2). Kama simu yako haijawahi kuwa rooted
utaona ‘Root access is unavailable’. Chini gusa
‘START ROOT’.
 
Back
Top Bottom