Anayeuza simu

Sep 1, 2018
30
42
Wakuu kama utasikia mtu yeyote anauza simu aina ya samsung au iphone nzuri isiyozidi laki 3 ambayo ni nzuri isiyo na tatizo lolote iwe na rangi nyeusi

we muache auzeee me sina elaaa
 
Tumia Kikuu au Kupatana app ... Or pm me for more details
 
Wakuu kama utasikia mtu yeyote anauza simu aina ya samsung au iphone nzuri isiyozidi laki 3 ambayo ni nzuri isiyo na tatizo lolote iwe na rangi nyeusi

we muache auzeee me sina elaaa

Mkuu vp mi ulishapata simu au bado mana mi ninauza simu yangu samsung j 2 core nyeusi
 
Back
Top Bottom