Anaekuona wa nini, sisi tunasema tutampata lini!

Mimi huwa natamani waondoke wote na pesa tuwachangie wakaishi wote Dodoma watuachie dar yetu.
 
Wee acha ukabila sema wasukuma tunakuhitaji sio sisi mwanza tunataka uwe mkuu wa mkoa wetu. Mlichelewa mwanza sasa ni ya wote tena kama jamaa wa huko kaskzn ndo wanafanya vizuri mjini bila kusahau akina muraa Na akina dutigite.
 
Back
Top Bottom