Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,997
Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
 
Mzee wachina wanaonunua VINGUNGUTI NASKIA NI BIASHARA POA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom