Anaejiita mwekezaji Msaki avamia na Kujenga eneo la wazi la kucheza watoto Mivumoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaejiita mwekezaji Msaki avamia na Kujenga eneo la wazi la kucheza watoto Mivumoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babuwaloliondo, May 10, 2011.

 1. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Hili ndilo eneo kama linavyo onekana ambapo mtu huyo anae jiita muwekezaji amevamia na kujenga

  [​IMG]
  Uzio ambao umewekwa na anae jiita muwekezaji Ndugu Msaki

  [​IMG]
  Baadhi ya Majengo yake

  [​IMG]
  Hapa ni uzio huo unao onekana kwa ukaribu ambapo watoto walikua wakicheza hapo na sasa imebaki kuwa Historia

  [​IMG]
  Mafundi wakiendelea na ujenzi katika eneo hilo ambapo kimsingi ni eneo la watoto kucheza

  [​IMG]
  Wakiwa wanaendelea Kuporomosha majengo eneo hilo ambalo si la ujenzi

  [​IMG]
  [FONT=&quot]Pichani si sehemu ya ramani, ya kitalu namba 4 aliyo na usajili na 38383, E' 353/107 toleo la tarehe 24/05/2004 inayoonyesha kuwa kiwanja no 30 ni eneo la wazi.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Eneo la mivumoni limekubwa na wawekezi katika maeneo ya wazi, Pichani ni kiwanja na 30 chilichopo kitalu namba 4,kikiwa kimezungushiwa uzio na mwekezaji aliyejulikana kwa jina moja la Msaki. Wakazi ya maeneo halo walifanya usafi wa eneo ili kuwawezesha watoto kucheza mpira wa miguu ndipo mwekezaji huyo alipojitokeza akajenga uzio. Kwa mujibu wa meelezo yake yeye ni mmiliki halali wa eneo hilo.[/FONT]​

  CHANZO: Mbeya Yetu: Breaking News: Anaejiita muwekezaji Msaki avamia na Kujenga eneo la wazi la kucheza watoto Mivumoni
   

  Attached Files:

Loading...