Anaehitaji dada wa kazi

nami nipo mkoani nahitaji dada wa kazi..awe anajua kupika misosi mbali mbali hicho ni kigezo mojawapo!! sio kila siku unakula chakula kile kile...!!
Haya weye unayejitangaza kuwa mdada wa kazi. Fursa hizoooo tele. Mwagika hapa uitwe haraka mikoani. Au ndo wale hata Mlandizi ni mikoani msikoenda??
 
Yupoje? maana mimi nina tatizo la appetite.

Nataka binti mwenye akivaa khanga akikatiza kama ugali upo mezani basi nijikute matonge yana flow fasta fasta.
 
Back
Top Bottom