Anaefahamu wapi naweza pata gaming motherboard inayo sapoti intel generatio ya 6 anijuze

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Mar 24, 2019
374
483
Naitaji kununua gaming motherboard ya intell inayosapiti intell processor generation ya 6 tafadhar kama unaweza niambia wapi napata nijuze pia kama unaweza niuzia hata wewe sawa niko online 24hrs we nicheki tu hapa hapa sawa boss wangu
Chief-Mkwawa
images%20(2).jpg
 
Naitaji kununua gaming motherboard ya intell inayosapiti intell processor generation ya 6 tafadhar kama unaweza niambia wapi napata nijuze pia kama unaweza niuzia hata wewe sawa niko online 24hrs we nicheki tu hapa hapa sawa boss wangu
Chief-Mkwawa View attachment 1699885
Kama una unlimited budget capricorn mjini unapata motherboard.

Otherwise agizishia nje, USA ama Malaysia au UAE Bei ndogo.

Na gaming motherboard (Z series) haina maana kama huna Unlocked processor zinazoishiwa na K, na bei Zake zimesimama hata huko nje Around laki 8 kupanda.
 
processor zinazoishia na k umemaanisha nini kaka
 
Naitaji kununua gaming motherboard ya intell inayosapiti intell processor generation ya 6 tafadhar kama unaweza niambia wapi napata nijuze pia kama unaweza niuzia hata wewe sawa niko online 24hrs we nicheki tu hapa hapa sawa boss wangu
Chief-Mkwawa View attachment 1699885
Na hii picha yako ni H series mainstream motherboard sio zile Gaming mobo,

Hizi mainstream nyingi ni chini ya dola 100.
 
umeniacha dooh mi nataka nitumie kwa graphics za kawaida tuuu hau capricon wanazo ila amd
 
Graphics za kawaida motherboard yoyote inakubali kwanini unataka ya Gaming?

Kinacholimit graphics ni powersupply most of times.
cjajua kwanini nimetaka hizo ila nimependezwa nazo nimenunua power supply na graphic card lakini hii mashine processor cjapendezwa nayo ni i3 gn ya 2 pia nahisi nikiwa na gaming motherboard na atleas core i5 gn ya 6 au ya 7 iakua na render vizurii kazi zangu
 
yani kutaka hizo motherboard ni performance tuu au hakuna kitu zinaongeza
Kwa muono wangu mimi kuna option mbili hapo.

1. Upgrade hio i3 yako ya gen ya 2 kwenda i7 Gen ya 2 ama ya 3, yaani i7 2700 ama 3770. Hii ni option rahisi utapata double power kwa gharama nafuu chini ya laki 1. Budget nyengine wekeza kwenye ram na graphics kama itahitajika.

2. Option ya pili ni kwenda moja kwa moja hadi gen ya 8, trust me huhitaji gen ya 6 kama una gen ya 2 na dedicated graphics, utofaut wa performance ni mdogo sana, Ila kwa gen ya 8 kuna huge gape na gen za nyuma. Bora ujipinde uchukue gen ya 8
 
shukran sana boss wangu gn ya nane nilitaka ninunue mashine kabisa ila nsona hixi mashine za g2 na haya ma dell hazi pci expless ule wa power nilichoka kiufupi naona njia rahisi niku custom
 
Kaka samahani,PC yangu imenasia kwenye safe mode.Nikibonyeza ile sehemu ya kustart pc (start menu)ili nifanye restart hairespond, pia nikibonyeza ile sehemu ya kuandika command haiandiki chochote,pia nikibonyeza ile alama ya window+R haiandiki chochote.Nawezaje kutoka kwenye hii safe mode?
 
Tafuta Fujitsu, zipo nyingi mtaani, sina uhakika kama Fujitsu zote zipo hivi Ila yangu ni kadogo sff lakini still ina psu kubwa na ni standard ina power cable zote.

Pia psu ipo kushoto na pci zipo kulia hazijabanwa na chochote, unaweza weka Gpu ukubwa wowote ule.
 
Jaribu Kuzima Hali YA kuwa umeshikilia shift itawaka kwenye recovery utapata boot option nyingi ikiwemo normal boot.
 
Tafuta Fujitsu, zipo nyingi mtaani, sina uhakika kama Fujitsu zote zipo hivi Ila yangu ni kadogo sff lakini still ina psu kubwa na ni standard ina power cable zote.

Pia psu ipo kushoto na pci zipo kulia hazijabanwa na chochote, unaweza weka Gpu ukubwa wowote ule.
nazungumzia huo waya wa power ninao tumia chomeka hizo mashine nimetaja pin za 24 pin hakunaa zinatumia 6pin cjuii
JPEG_20210212_094731_7243446119160583397.jpg
JPEG_20210212_094856_3213796448073557308.jpg
 
nazungumzia huo waya wa power ninao tumia chomeka hizo mashine nimetaja pin za 24 pin hakunaa zinatumia 6pin cjuiiView attachment 1700464View attachment 1700465
Kwanza mkuu hata kwa hizo dell zile business model Ndio zina 6 pin zipo dell na Hp zenye 20/24 pin Pia, hii Fujitsu haina 6 pin nafkiri ni 20.

Halafu hata Kwa desktop zenye 6 pin kuna Gpu nyingi tu ambazo ni low profile unaweza tumia kama nvidia 750, 750ti, 1030, 1050, 1050ti na 1650, pia kuna amd rx 550.

Zipo Gpu zenye version ya kawaida na low profile, mfano 1050 hivyo kuwa makini Hakikisha ukinunua ni low profile.
 
Hata ukiclick start Na Kuzima ina kataa? Unatakiwa kabla ya Kure start ushikilie button ya shift ili iwake kwenye hio recovery
Kaka tatizo lilipoanzia ni kwamba leo nimeamka nikawasha PC kama kawaida ila ikaniambia "we can't sign into your account windows",natumia window 10.Sasa katika kusoma google jinsi ya kutatua hili tatizo ndiyo wakaniambia kuwa nirestart katika safe mode.Saa zile nilipokuwa naandika hapa chaji iliisha na pc ikazima.Sasa hivi umeme upo,nimeiwasha ila imeniletea ujumbe uleule "we can't sign into your account windows"Lakini imewaka kama kawaida sema haijafungua mafaili mengi.Yenyewe inasema kuwa imewaka tu kama temporary.Je nifanyeje katika kutatua tatizo hili?Nasikia sometime huwa linasababishwa na anti virus.Error ninayopata ni: "You've been signed in with a temporary profile"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom