Anaefahamu tiba ya vile vikitu kama kinyama kinaota sehemu za siri

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,030
2,168
Aseeeh anaefahamu tiba ya vile vikitu kama kinyama iv kinaota sehem za siri za mwanaume hasa kwenye shina la uume niliambiwa ukikifunga uzi kina katika ila chaajabu baada ya muda kina ota tena sehem ile ile

Msaada
 
Ukikifunga unatoa part ya juu tu ila unaacha root..nenda hospital ukaonane na surgeon atoe root ili kisiote tena
 
Aseeeh anaefahamu tiba ya vile vikitu kama kinyama iv kinaota sehem za siri za mwanaume hasa kwenye shina la uume niliambiwa ukikifunga uzi kina katika ila chaajabu baada ya muda kina ota tena sehem ile ile

Msaada
Mtafute yule mume wa Amber Rutty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom