Anaefahamu naomba anifahamishe namm pia...!!!

BxAarfa

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
700
119
Nahitaji kufahamu "internet protocol"inamaanisha nini? Na alama hizi zina maana gani katika internet protocol" IMAP4 na POP3"
 
protocol ni kama utaratibu unotumika kusafirisha data. IMAP na POP3 ni aiza za mail servers, IMAP inakurusu kusoma mail from servers bila kuzidownload kwenye kifaa chako. Lakini POP3 inakurusu kuzidownlaod na kuhifadhi email kwenye mailbox ya kwenye pc au kifaa chako kingine.
 
Kwa hiyo brother unahisi mail server ipi ndo nzuri kati IMAP na POP3?
 
POP3 ni nzuri lakini mara nyingi zote hutumiwa pamoja so sioni haja ya kusema POP3 ni nzuri zaidi ya IMAP kwa sababu zinaenda sambamba.
 
Yeaaah bt mm kwa phome yangu imetaka ni chaguo moja kati ya hizo mbili
 
Kama ni hivyo basi tumia POP.

Owk brother napenda unisaidie zaidi,unajua nataka kueka mailbox katika phone (6120) yangu ila ikifika step 2 inaniambia kwamba niingize "incoming mail server" halafu step nyengine inataka niingize outgoing mail server" ndo zipi hizi?
Natanguliza shukran
 
hiyo 6120 ni model ya simu gani? na email yako ni ya provider gani (yahoo, gmail, live, aol au ipi)? kila provider ana incoming & outgoing mail saver zake.
Mfano za gmail ni:
OUTGOING: smtp.gmail.com
INCOMING: imap
.gmail.com

Windows Live:
OUTGOING: smtp.live.com
INCOMING: pop3.live.com

Lakini kumbuka itabidi uweke na ports kama itahitajika. Kama ni email ya kampuni yenu muulize admin atakupa hizo details. Unaweza ku-google ukapata mail servers za provider wako.
 
Back
Top Bottom