Anaedhani amehujumiwa matokeo yake ya f4 na f6 kutoka necta

Kwa ulicho kiandika,sidhan kama necta walikosea kukupa hyo zero!
 
mlanguzi nawewe umelanguliwa matokeo yako ya necta....tehtehtehteh
 
Jamani hivi watu kama huyu mleta mada bado wapo nchi hii?? me nilizani ilikua ni miaka ya 2000's
 
MLANGUZI JITOE J.F MAANA KILA UNAPOJITAHIDI KUANZISHA THREAD YENYE CHEMBE ZA UDINI WATU WANAKUDHARAU NA KUKUONA CHIZI. Pole Sana Ustaadh Mlanguzi.
 
Hawa ndio hudai wameonewa na NECTA. Kama mnasoma thread yake haieleweki na ameipanga mwenyewe, mnategemea katika mitihani ya NECTA aliandika nini? Aliyewanyima mwanya watanzania kupata Elimu bora ndio chanzo cha Matatizo ya nchi hii. Inabidi atafutwe kwa juhudi zote na alaaniwe daima
 
Back
Top Bottom