Anae mjua mwalimu mzuri wa kufundisha kutengeneza vipodozi anahitajika haraka sana

Cmfungua

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
381
1,051
Natafuta mtu anae jua kutengeneza vipodoz vya kina dada pia awe tyari kufundisha online
Aje PM chap tupeane michongo
 
Mtafute mzalendo yuko mwanza atakusaidia nadhani, kwa kuwa amejaaliwa huo ujuzi kiasi chake.
 
Back
Top Bottom