Anadai eti cko serious!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Bwana yesu asifiwe wakuu!!kuna mdada flan hv nimetokea kumpenda kwa dhat,sasa bahat mbaya me ni m2 wa utan sana so nimempga sound akanambia eti me cko seriously na ka nko seriouz,bas inabdi nfanye k2 ili kumuaminsha,kiukwel nimetokea kumfil huyu mmanz.naomben mnisaidie nifanyeje ili aweze kuelewa kuwa namhtaji kiukwe!mbarikiwe...
 
<br />
<br />
hapo ntakua namdanganya 2,cjajiandaa kwa hlo sa hz.

we kweli haupo serious......
mwmbie nataka kujitambulisha kwenu but sijajiaanda na sitaweza
kuahidi chochote for now,halafu yeye atakushauri
 
kweli hauko serious sasa usimpotezee muda dada wa watu,
unachotafuta hapa ni njia ya kumdanganya kuwa uko serious when you are not
cio poa!
 
amen. kama umemfeel kajitambulishe kwao, usilete utani wa kusema hujajiandaa, kwani kujitambulisha ni kumuoa?
 
Mkabidh tembo card mastercard yko na password il boom likikita awe anakusaidia kukutolea.
 
kaka tumekushtukia unataka umlale alafu utambae muache aendeleee kukubania tu upate somo na kama upo sereus utaenda tu
 
[h=2]<img src="https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png" alt="" border="0"> Anadai eti cko serious![/h]<div style="margin-left:40px"> Bwana yesu asifiwe wakuu!!kuna mdada flan hv nimetokea kumpenda kwa dhat,sasa bahat mbaya me ni m2 wa utan sana so nimempga sound akanambia eti me cko seriously na ka nko seriouz,bas inabdi nfanye k2 ili kumuaminsha,kiukwel nimetokea kumfil huyu mmanz.naomben mnisaidie nifanyeje ili aweze kuelewa kuwa namhtaji kiukwe!mbarikiwe...

Yaani hadi umekuja huku ujue hauko makini............................just move on......................ila Tumsifu Yesu Kristu milele Amina...........kwenye hilo tuko pamoja.......................na hayo mengineyo ni shida tu unazisaka mwenyewe na zitabisha mlango na zitakapokukaba koromeo Muumba kamwe hatakusikiliza..............like profane Esau who sold his birthright for a morsel of food..........................when he fumbled to inherent the blessing he was rejected................for he found no place for redemption...........................though he sought it diligently with tears...........Hebrews 12:16-17
 
hapo ntakua namdanganya 2,cjajiandaa kwa hlo sa hz.

kama hujajiandaa siupishe wenzio..............................achia ngazi wakati si wa kwako.............................usije ukampotezea mtoto wa watu muda bure wa kumzibia riziki yake......................wenzio wako tayari kuchukua mzigo..............
 
we kweli haupo serious.....
mwmbie nataka kujitambulisha kwenu but sijajiaanda na sitaweza
kuahidi chochote for now, halafu yeye atakushauri

cc wote ni wanafunzi,unafikir wazaz wake watanielewa,tena ukzngatia ye ndo anaingia 1st yr mwaka huu?
 
amen. kama umemfeel kajitambulishe kwao, usilete utani wa kusema hujajiandaa, kwani kujitambulisha ni kumuoa?

Nina 23yrz,ye ana 20yrz,kweli kwa maadili ya kitanzania, hao wazazi wake watanielewa mkuu! Hebu nipe wazo lingne,hlo ctoliweza..ubarikiwe.
 
&lt;font size=&quot;3&quot;&gt;kweli haupo serious.......&lt;/font&gt;

Nimempenda kikweli,sema 2 ndo hvo,wa2 wengne 2mezoeleka kuonekana ni wa mzaha sana,ndo maana nae anahc namtania 2, ila ukwel uko moyon mwangu.
 
Muulize mwenyewe anataka umfanyie nini ili akuamini, na atakachokisema basi hunabudi kutekeleza... Note; iwe ni serious relationship na sio mzaa..
 
Back
Top Bottom