Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Bwana yesu asifiwe wakuu!!kuna mdada flan hv nimetokea kumpenda kwa dhat,sasa bahat mbaya me ni m2 wa utan sana so nimempga sound akanambia eti me cko seriously na ka nko seriouz,bas inabdi nfanye k2 ili kumuaminsha,kiukwel nimetokea kumfil huyu mmanz.naomben mnisaidie nifanyeje ili aweze kuelewa kuwa namhtaji kiukwe!mbarikiwe...