Anadai ananipenda ila hana hisia na mimi za kufanya mapenzi!

dume kaptura

Member
Feb 6, 2017
98
42
Habari za asubuhi wanajf
Kwa muda kama miezi mitatu sasa nimekuwa katika mahusiano na mwanamke fulani

Huyo mwanamke huwa anasema ananipenda ila tukiwa faragha katika harakati za kuvunja amri ya sita anabadilika ghafla na kudai hana hisia na mimi(hapati hamu ya kusex)

Wadau naombeni maoni yenu huyu mwanamke ana tatizo gani?na kiukweli nampenda sana
 
Atakua anapenda kujali kwako, kama unajali, na mambo yako mengine mengine ila kwenye sex kuna kitu hajavutiwa labda kasikia smell ya jasho, mouth, haujiweki safi, haujui lugha nzuri ya kuomba kula mzigo na vitu kama hivo, sex ni hisia na kitu kidogo sana kinaweza kuondoa kabisa hisia za kufanya..... Jiangalie tena!!!
 
Attachments

  • FB_IMG_1497871411936.jpg
    FB_IMG_1497871411936.jpg
    24.6 KB · Views: 49
Kuna uwezekanao kuwa huyo mpenzi wako alitendwa na mwanaume aliempenda sana na hiyo kupelekea kuathirika saikolojikali na ndio maana akiwa faragha anakumbuka ya bwana wake, na yupo nawewe ili kujaribu kumsahau huyo mtu na case ya kusema anakupenda wala sio kweli bali hataki ujiskie vibaya tu ila hupendwi mkuu
 
Atakua anapenda kujali kwako, kama unajali, na mambo yako mengine mengine ila kwenye sex kuna kitu hajavutiwa labda kasikia smell ya jasho, mouth, haujiweki safi, haujui lugha nzuri ya kuomba kula mzigo na vitu kama hivo, sex ni hisia na kitu kidogo sana kinaweza kuondoa kabisa hisia za kufanya..... Jiangalie tena!!!
Evelyn nitumie mbinu gani kukuomba mzigo?
 
Habari za asubuhi wanajf
Kwa muda kama miezi mitatu sasa nimekuwa katika mahusiano na mwanamke fulani

Huyo mwanamke huwa anasema ananipenda ila tukiwa faragha katika harakati za kuvunja amri ya sita anabadilika ghafla na kudai hana hisia na mimi(hapati hamu ya kusex)

Wadau naombeni maoni yenu huyu mwanamke ana tatizo gani?na kiukweli nampenda sana
Ni kweli mm ishawai kunitokea hiyo hali nilijikuta sna hisia na msichana flani , it was headache kwake na kwangu
Labda hana hisia mkiwa faragha,jaribu kutafuta eneo lingine tofauti na faragha uone kama atapata hisia za kimapenzi juu yako
 
Atakua anapenda kujali kwako, kama unajali, na mambo yako mengine mengine ila kwenye sex kuna kitu hajavutiwa labda kasikia smell ya jasho, mouth, haujiweki safi, haujui lugha nzuri ya kuomba kula mzigo na vitu kama hivo, sex ni hisia na kitu kidogo sana kinaweza kuondoa kabisa hisia za kufanya..... Jiangalie tena!!!
Ni kweli kabisa nitajitahidi mkuu
 
Kuna uwezekanao kuwa huyo mpenzi wako alitendwa na mwanaume aliempenda sana na hiyo kupelekea kuathirika saikolojikali na ndio maana akiwa faragha anakumbuka ya bwana wake, na yupo nawewe ili kujaribu kumsahau huyo mtu na case ya kusema anakupenda wala sio kweli bali hataki ujiskie vibaya tu ila hupendwi mkuu
Sawa inawezekana don
 
Back
Top Bottom