Anadai ananipenda ila hana hisia na mimi za kufanya mapenzi!

Habari za asubuhi wanajf
Kwa muda kama miezi mitatu sasa nimekuwa katika mahusiano na mwanamke fulani

Huyo mwanamke huwa anasema ananipenda ila tukiwa faragha katika harakati za kuvunja amri ya sita anabadilika ghafla na kudai hana hisia na mimi(hapati hamu ya kusex)

Wadau naombeni maoni yenu huyu mwanamke ana tatizo gani?na kiukweli nampenda sana


Huyo atakuwa anasuguliwa na mtu mwingine tu, wewe aekuweka kama galasa lake....yaani a side kick.
 
Kwanza haya mambo ya kugegeda sidhani kama huwa yanakuwa na mjadala mkiwa faraghani...maana kwa ninavyojua mimi haya mambo huja automatically tuu baada ya kucheza cheza...ma romantic story.. Sio lazima uanze kutamka sijui nataka nikugegede.... We mlainishe kwa namna nyingine sudhani kama utaskia hizo kauli za sijui sina hamu ya kesex na wew mara oooh.....

TUTUMIE AKILI SOMETIMES SIO KILA KITU TUNA KARIRI TU...OVER
 
Siku nyengne ukimuita kugegedana weka kama laki moja mezan na aione uone response yake
 
Back
Top Bottom