Anadai ana ujauzito wangu ila simpendi hata kidogo

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,317
8,000
Mwaka 2014 nilikuwa nadate na msichana wa form 2, wakati huo mimi nilikuwa mwajiriwa tayari. Na nlikuwa nimeshaoa, basi nimedate na huyu msichana kama miezi 6 tukaachana kila mtu akamove on, ila tuliendelea kuwasiliana kwa simu kama marafiki kawaida.

By those times tuliishi mkoani. Basi nikaja kusikia alipigwa mimba na mshkaji akiwa form 4 hivo akazaa. 2019 nikiwa kikazi Dar nikamtafuta, maana aliniambia anaishi Dar kwa wakati ule. Nikamuita akakubali kuja ila ratiba ndo hazikuwa nzuri kwangu nlilazimika kumwacha.

Ila akaniambia anasafari kama vipi nimlipie nauli tuje wote, sikutaka kusafiri naye maana serious K yake hainivutii kabisa ni kubwa kupia maelezo. Na nilikuwa na usafiri private na nilikuwa peke yangu, kwani nilienda kuchukua kipasso changu bandarini. Mwezi wa 11 nikakutana naye hapa nikaomba gem nikapewa, alikuwa tu analalamika kuwa yupo tarehe mbaya.

Baada ya kama mwezi kupita akaniambia hajielewi ni kama amenasa, nikamtia moyo nikamwambia akapime. Majibu yakatoka kweli ana mimba. Basi nikamwambia asitoe kwa sababu mimi nina shida na mtoto sana nipo tayari kumhudumia.

Kwa moyo mweupe kabisa nipo tayari kuhudumia yeye na mtoto wake kabla na baada ya kujifungua ila yeye ndo simhitaji kuwa naye permanent. Ninakubali nimjengee nyumba ili mwanangu atakayezaliwa asipate shida, ninakubali kwa moyo mweupe nimfungulie biashara ili tusaidiane kutunza mtot. Ila sipendi kabisa ndo awe mwanamke wangu wa permanent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K kubwa ni uhakika atajifungua salama, na wala sijaona sehemu umetaja anahitaji umuoe.... mengine fanya kama mlivyokubaliana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom