Anachotakiwa JK ni kuvunja baraza la mawaziri au ni kulivunja bunge na kisha turudi kwenye uchaguzi?


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,218
Likes
72,804
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,218 72,804 280
Hivi mwarubaini wa utendaji mbovu wa serikali ya CCM ni raisi Kikwete kulivunja baraza la mawaziri?

Je,tangu aingie madarakani ameshavunja au kubadili mawaziri mara ngapi?

Je,mabadiliko hayo yameleta tofauti yoyote?

Je,bunge letu linawajibika ipasavyo?

Tungekuwa na bunge makini tungefika hapa tulipo?

Je,Raisi Kikwete anawajibika ipasavyo?

Katika mazingira haya, hatustahili kuingia katika uchaguzi mkuu hata kabla ya 2015?

Je,kupi ni bora kwa mtanzani kati ya gharama za kuingia katika uchaguzi mkuu wa mapema na gharama za kuwa na hii mihimili miwili ambayo ni mibovu(mfu)?

Tatizo la msingi kwa taifa hili si "ombwe" la uongozi bali ni "ombwe" la mihimili hii ya kikatiba.
 

Forum statistics

Threads 1,263,140
Members 485,792
Posts 30,143,889