Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,

Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?

Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!

Makonda oyeeeeeeeee

Update: maneno aliyoandika mwanzoni ambayo ameyafuta yalinipelekea kuandika niliyoandika, kwahiyo ndivyo ilivyokuwa na ujumbe naona alielewa sio lugha za kumuongelea mtu na haswa kiongozi hivyo.

Video clips zingine kwa post hii bonyeza mkuki uende
Maskiinii...
Kweli kichaa hakipigi hodi.
 
Mara ngapi huyu anayo

Kutumia vyeti vya mtu hakujawai kumwacha mtu salama
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom