Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

Alipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.

Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa


Makonda oyeeeeeeeee
Duuuu sijawahi kuona mtu anaemtetea binadamu mwenzake kiasi hiki. Huoni wala husikiii
 
Kumeibuka tabia ya ukisimamia kitu kwa ajili ya wananchi, watu wanatafuta ya nyuma kama ulikuwa Malaika. Halafu utachafuliwa sana kama kulikuwa na makandokando na kile unachokisimamia kwa wakati, watajitahidi kishindwe na wakiona inashindikana.... Wataishia kusema CCM ndio wamefanya haya. Nampongeza Mh. Makonda kwa hili jambo. Tumechezea Elimu yetu kwa kiasi cha kutisha.
Yaani mwizi akuibie halafu akawe mchungaji kisha anakuja kukuombea nawe unashukuru kwa kuwa sasa ni mchungaji? Lumumba ni lazima wawe wajinga?
 
Huwezi tafuta kitu ambacho umeshakipata, huyo Daudi albert Bashite alishalaniwa tokea siku ile ameiba vyeti vya Paul Makonda, anachofanya ni kutembelea tu hiyo laana yake!
 
Anazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima


Kazingua xn bora basi hata angezuia asirekodiwe ili awaonyeshe hiyo hasir yake! Ila anavyopenda kiki kafanya maksudi kabixa! Hana maumivu na matokeo mabaya ila ana haha kupata kiki tu!
 
Naona demu wa bashite umemaliza kubleed sasa uko free kumtetea basha wako. Twende kazi na RC wako kilaza.

Kama angekuwa na machungu kihivyo na elimu asingepata zero form four na kusoma bachelor degree kwa miaka sita na kuambulia gentlemen degree tena ya kubebwabebwa
Mbona tunakuchezea nyuma siku zote husemi, leo la majukumu ya Makonda yanakuuma dada Cognitivist?
 
Kazingua xn bora basi hata angezuia asirekodiwe ili awaonyeshe hiyo hasir yake! Ila anavyopenda kiki kafanya maksudi kabixa! Hana maumivu na matokeo mabaya ila ana haha kupata kiki tu!
Kumbe Kick...
 
Mi nimemkubali kwa sababu anakemea kitu cha maana kwenye mkoa wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom