Katika hali inayoonekana ni ya kimkakati spika Anna Makinda ameanza kazi aliyotumwa ya kuhakikisha kuwa mjadala huu haujadiliwi ipasavyo. Jana tarehe 24.11.2014 dalili hizo zilionekana wazi kwani hoja ya mbatia, Lissu na Mnyika mama huyu alizizima. Ila akumbuke endapo atashiriki kwenye uharamia huu basi ataziona hasira za umma.