Anacheka baada ya kuanza jitihada za kuzima mjadala wa ufisadi wa Escrow

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Katika hali inayoonekana ni ya kimkakati spika Anna Makinda ameanza kazi aliyotumwa ya kuhakikisha kuwa mjadala huu haujadiliwi ipasavyo. Jana tarehe 24.11.2014 dalili hizo zilionekana wazi kwani hoja ya mbatia, Lissu na Mnyika mama huyu alizizima. Ila akumbuke endapo atashiriki kwenye uharamia huu basi ataziona hasira za umma.


DSC_0244.jpg
 
Usoni anacheka kwa kuwa kawafurahisha waliomuweka hapo kulinda maslahi yao, lakini moyoni analia kwa aibu inayomkuta na unyama anaowafanyia maskini, ila kwa kuwa kakubali kutimika hofu ya moyo wake inamtesa mwenyewe huu ni ukweli ila kaamua kufa na dhambi ili asiache kuwa malkia, pole yake.
 
Anafikiri ataendelea kutumika milele! mwisho wake upo na ukizingatia umri unamtupa mkono, mimi binafsi sina jinsi ya kumfanya ila namwombea laana tu.
 
Hapo kama alimwambia mpiga picha afotoe halafu ampe ili amtumie kwenye Whatsapp mzee aliye Marekani. Akimtumia na mashairi kidogo ya;
"Hawatuweziiiii...."
Song Source: Bongofleva
 
Back
Top Bottom