‘Anabweka bweka huko nje’: Raila speaks out over Miguna saga

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,378
ODM leader Raila Odinga has finally broken his silence over the travel woes of his former aide Miguna Miguna.

According to him, no one has blocked Miguna from traveling back to Kenya.

“Anabweka bweka huko nje kama mbwa..sii akuke abweke hapa…Uhuru haogopi miguna..Raila haogopi miguna…nilimpatia kazi…Wacha arudi hapa Kenya,” Raila said on Friday.

He was speaking in Kisii during the first county Building Bridges Initiative (BBI) consultative forum with over 3000 delegates.

The former Prime Minister also noted that a referendum on the BBI is expected before the end of June and leaders should advocate for it at the grassroots level.

“Tumewaambia MCAs waende kwa wananchi,” he said.

Leaders present at the Kisii forum were CSs Fred Matiang’i (Interior) and Eugene Wamalwa (Devolution); Governors Hassan Joho (Mombasa), Charity Ngilu (Kitui) and Anne Waiguru (Kirinyaga); as well as MPs Richard Onyonka (Kitutu Chache) and Junet Mohamed (Suna East).

Miguna, who once served as a senior advisor to Raila, has been vocal on his stance against the BBI.


“All Patriotic Kenyans must unite and defeat Despot Uhuru Kenyatta’s imperial designs through the #BBINonsense. We must say NO to attempts to mutilate the Constitution in order to remove the TERM LIMIT so that Uhuru Kenyatta and Conman Raila Odinga can defraud Kenyans again,” he said on January 3.

Miguna had planned to return to the country on Tuesday this week, however, a red alert issued against him saw two airlines –Lufthansa and Air France—stall the trip.

Attorney General Paul Kihara has since been ordered to appear at the High on Monday to explain why orders to allow Miguna’s return were disobeyed.

Judge Justice Mativo said the Miguna saga is a proper case for the court to ‘flex its muscles in defending the Kenyan constitution and the rule of law’.

“The values of obeying orders are not there for cosmetic purposes … Court orders are there to be obeyed in ensuring the rule of law is upheld,” he said on Friday.
 
Sasa Miguna kama ni foreigner siasa za Kenya hazimuhusu huyu mtu manake si raia au inakuwaje hapo?
 
HATA SIKU MOJA SIKUWAHI KUMUAMINI RAILA ODINGA WALA EDWARD LOWASSA WANASIASA HAWA NI WATU WA MASLAHI YAO.

NJE ANAJIONESHA MTU SAFI NDANI NI FISI MBWA MWITU KABISA.
 
Tatizo Miguna ni Mkweli Kupitiliza, ndio maana siasa za Afrika zinampa tabu.

Uhuru ni Rais Mzuri ila hili la Miguna Miguna litamtia DOA Kubwa Jingine ukiachana la lile la ICC
 
Sasa kinachosababisha kuzuiliwa kurudi ni nini?
Kuondoka kenya ilitokana na kumuapisha Raila pia kuwa Rais ,Na hakuondoka alichukuliwa kwa nguvu tena kwa kuchomwa na sindano ya usingizi ,alipotaka kurudi serikali ya kenya ikayaagiza mashirika asirudi (ya ndege) huku nyuma.

Raila na Uhuru wakajua walivyofanya (mgao) wakaungana na kujifanya umoja wa kitaifa ,wamekuja na kitu inaitwa BBI (Building bridges initiative ) hii nimeisoma inamsingi mzuri ila kisirisiri inatoa mwanya wa uhuru kurudi tena sasa jamaa anarudi kuwa sanua wakenya ndo maana wanachanganyikiwa ila mahakama kuu imetoa amri arudi nchini .na imesha piga maofisa wajuu fine ya 6000$ kwa kukukaidi amri hiyo. THE LIGHT IN EAC WILL COME FROM KENYA
 
HATA SIKU MOJA SIKUWAHI KUMUAMINI RAILA ODINGA. .. WALA EDWARD LOWASSA. .. WANASIASA HAWA NI WATU WA MASLAHI YAO...

NJE ANAJIONESHA MTU SAFI. .. NDANI NI FISI MBWA MWITU KABISA. ..


Sasa mbona list fupi hiyo? Si wanasiasa karibu wote tu? Au umechukua top two?
 
Back
Top Bottom