Anaandika Mtaalamu Wa Mahesabu Kuhusu Kaguzi Za CAG Kwa ATCL.

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Kihasibu

ATCL ni independent entity chini ya Wakala wa Ndege Tanzania, na kama zilivyo entities nyingine za govt inatakiwa kujiendesha kwa kujisimamia.

ATL anatoa huduma kwa Serikali ambaye yeye anamiliki maofisi na infrastructures nyingine tu za kusupport operations zake.

ATLC baadae anam bill serikali gharama za huduma aliyompa ili alipwe. Govt kwa kuwa inaweza kulipia huduma pale inapopenda tu, deni kule kwa ATCL linapaa.

CAG akija kukagua vitabu yeye hawezi kujua kwamba ulitoa huduma na hukulipwa hivyo anatoa audit report yake kama unadaiwa na hati chafu juu. ATCL anajua anamdai Govt ambaye hana pesa zinazolingana na deni.

Kiserikali

Itaandikwa hivyo kama ilivyoandikwa kwamba ATCL hana assets ambazo zinalingana na deni ikiwa inaamaanisha Govt aliyekaidi kulipa deni (sana sana ana jengo lile pale Ohio na vijengo vingine tu akiuza anapata pesa ya K-Vant tu).
.
In the long run, madeni yakipile up kwa sababu ya uzembe shirika linakosa going concern na mzigo kuhamia kwa mwananchi wa kawaida.
.
Deni la nje hapa halihusiki mana ATCL anajua atamalizana nao vipi - vile akishindwa ndipo inakua kama alivyofanya mkulima wa Canada kumkamatia ATCL ndege zake japo govt atatake fore action kupambana mana ni shirika lake.

That is it!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom