RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,818
Ridiculous, ingekuwa hivyo Wakenya wangekuwa wanasajili kampuni halafu wanamiliki ardhi.
Unanambia mimi ndio sijui?
Hujui chochote!
Foreign owned company iliyosajiliwa Tanzania ikiomba kutumia ardhi Kamishna wa Ardhi anampa TITLE DEED Mkurugenzi Mkuu wa TIC, kwenye sehemu ya mmiliki inajazwa TIC. Mwekezaji anapewa DERIVATIVE RIGHTS.
Ndio maana wekezaji wanalalamika kwamba wakienda benki kuomba mikopo na derivative right title deed mabenki mengi yanakataa kwa sababu TIC ndio mmiliki wa title mwisho wa siku.
Unanambia nisibishe kitu ambacho sikijui, wewe unajuaje kwamba wewe unajua mimi sijui? We vipi wewe?
Angalia sasa. Nimesema aje afungue na kusajili kampuni Tanzania. Iwe kampuni ya Tanzania sio foreign owned.