Ana Umri wa Miaka 3 Lakini Ana Uzito wa Kilo 60

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Ana Umri wa Miaka 3 Lakini Ana Uzito wa Kilo 60

1191.jpg

Mtoto Lu Hao wa nchini China pamoja na kwamba ana umri wa miaka 3 ana uzito ambao ni mara tano zaidi ya uzito wa mtoto wa umri wake, ana jumla ya kilo 60.

1190.jpg
1189.jpg

1188.jpg

<tbody>
</tbody>

<tbody>
</tbody>
Anakula Kuku mzima Mkate wa Bakhresa mzima maziwa lita moja Mayai 10 huo ni mlo wa asubuhi mchana bado wala usiku bado nakuachieni nyinyi wenzangu. Je kuna Mtu anayeweza kumbeba mgongoni huyu mtoto?
 
Nguvu za kumbeba mtu unazo wewe FaizaFox?mimi nakuona umeshakuwa Mzee wewe, huwezi tena kazi ya kubeba Mtu wewe mwenyewe wataka mtu akubebe.

Uzee huo sina, ndio kwanza nnadai. Niko "prime" au "golden age" ya mwanamke. Uliza uambiwe, usikisie.
 
Huna lolote, ulitaka tu akupe ofa na umenoa sasa,lol!
Afu nna suala ntakuuliza soon, brashi akili zako.

Sawa mimi nina Umri wa miaka 47 Je wewe mwenzangu hujafika Miaka 50? bado hujawa Mzee tu? Mashine inafanya kazi kweli kweli? au ndio imechoka kufanya kazi?
 
Huna lolote, ulitaka tu akupe ofa na umenoa sasa,lol!
Afu nna suala ntakuuliza soon, brashi akili zako.
Mpenzi Mkuu King'asti upo? Una miaka mingapi Mwenzangu? Silaha yako inanitisha hiyo je hata ukiwa nyumbani unakuwa nayo hiyo silaha? Kazi ya Jeshi haikufai mpenzi.
 
Ninakutakia kila la kheri na hilo gozi lako, unalichezea mpira hilo gozi lako? una watoto wangapi? una wajukuu wangapi mzee Mwenzangu?

Na keki linanipikia. Burdaaan wa Sharaba.

Usintie Uzee, unanini weyee? kama wewe mzee usifikiri wote basi ni wazee. Wala usinjaze fikra hizo. Pale utaposkia naaanikwa juani mchana na kurudishwa ndani jioni, hapo ndio ujuwe nimekuwa mzee, kwa sasa bado AlhamduliLlah.
 
Back
Top Bottom