Ana ugonjwa wa moyo niachane nae au nikomae tuu

clefting

Senior Member
Mar 8, 2019
175
250
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Sasa ipo ivi kwenye mahangaiko ya kila siku hatimaye nimekutana na mdada mmoja mzuri sana according to me sifa zake ni mrefu, rangi ni maji ya kunde, ana mwili wa kawaida ana tako kiasi usoni amenivutia sana kikubwa zaidi ni very social apo ndo aliponiweza maana mimi ni wale watu mnawaita introvert so ananichangamsha sana tukiwa tunapiga stories
Sasa tuje kwenye main point nimetokea kumpenda sana na nimemtongoza kanikubalia
Sasa siku zilivyoenda kuna siku tumekaa sehemu akaniomba maji nikampa akatoa dawa kwenye mkoba akaniomba nimkatie maana kimoja alitakiwa anywe nusu kingine robo nilivyoviangalia nikavijua ni vidonge vya matatizo ya moyo nikamuuliza akanieleza kuwa ana hilo tatizo na amekuwa nalo tangu mtoto na amekuwa akihudhuria clinic sasa nikawa nawaza kama nikiingia nae kwenye mahusiano siku napiga mbususu akaja kukata moto sijui dunia itanichukuliaje au baadae km tukiingia kwenye ndoa (nilikuwa na mipango hiyo kama asingekuja kubadilika) alaf akaja kusumbuliwa na hayo maradhi si nitateseka sana na hali ya afya yake
Je? Niendelee nae(kwamba hata wenye maradhi ni binadamu kama sisi na tuwaoneshe upendo kama wengine) au nimpotezee (nimefikiria ata wazazi wetu enzi hizo walikuwa hawaruhusiwi kuoa mtu mwenye maradhi au ukoo wa watu wenye maradhi kwa kabila letu) japo nikimpotezea nitaumia sana maana nimetokea kumwelewa sana.
 

desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,051
2,000
We fata moyo wako kama una hela sio mbaya hata siku akiugua utaweza kumuuguza
 

Turnoff

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
631
1,000
Muoe upate furaha kwa kumuoa mwanamke umpendae....pia upate baraka kwa Mungu wako...na usiwe una hisi kua ni laana kuoa mtu mwenye ugonjwa wa kudumu au mlemavu.....nao nibinaadamu kama sisi na wana hitaji upendo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom