- Thread starter
- #21
Umefurahisha sana. Mbona miezi minne kawaida! Kijana wangu alimpachika mimba mke wake mwezi mmoja baada ya kujifungua mke wake. Yaani baada ya miezi 11 mke wake alijifungua mtoto mwingine
Umefurahisha sana. Mbona miezi minne kawaida! Kijana wangu alimpachika mimba mke wake mwezi mmoja baada ya kujifungua mke wake. Yaani baada ya miezi 11 mke wake alijifungua mtoto mwingine
Itabidi nifanye hivyo mkuu maana naona hamna namnaMkuu mleta umeenda kwa Dr wa wanawake? Kama bado nakushauri uende.
Nashukuru kwa ushauri mzuri. Sina tatizo na kupata mtoto mwingine, wasiwasi wangu ni afya ya mama maana baada ya kujifungua aliumwa kiuno karibia miezi miwili ila tulisikiliza ushauri wa wataalam aliacha kubebe vitu vizito au kuinama hadi hali hiyo iishe kabisa na kweli ana ili isha baada ya miezi miwili. Itabidi tuende hospitali next wk then tutafanya atakacho shauri daktariKwa ushahidi wangu niliouona kwa watu tofauti tofauti na katika familia yetu (ukoo) siku zote mtoto ambae anataka kutolewa mimba yake lakini ikaachwa akazaliwa huja kua mwokozi wa familia na msaada mkubwa sana katika familia hasa kiuchumi, please nakushauri tu kama ni kweli mpeni haki yake ya kuishi, mkuu maisha ni haya haya hakuna maisha mengine kusema eti akizaliwa uchumi uta shake, hapana hizo ni excuse tu ambazo shetani huwa feed watu ili wafanye abortion.
excuse are not valid .. say no to abortion.
Miezi 4 mbona mingi zaeni tu Mkuu, msitoe.Nashukuru kwa ushauri mzuri. Sina tatizo na kupata mtoto mwingine, wasiwasi wangu ni afya ya mama maana baada ya kujifungua aliumwa kiuno karibia miezi miwili ila tulisikiliza ushauri wa wataalam aliacha kubebe vitu vizito au kuinama hadi hali hiyo iishe kabisa na kweli ana ili isha baada ya miezi miwili. Itabidi tuende hospitali next wk then tutafanya atakacho shauri daktari
Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili, wa kwanza 10 April, 2015, wapili 02 Feb,2019. Mtoto wa kwanza alizaliwa na 3.74 kg na wapili amezaliwa na 4.1kg. Tangu amejifungua tu mtoto wapili aliniambia hataki kuzaa tena nami siku taka kubishana nae nika mjibu hata mimi watoto wawili wananitosha japo ningetamani nipate wamwisho wakike nimpe jina la mama yangu. Alinijibu kwa utani hataki tena labda nikitaka nikazae nje ya ndoa ila yeye hataki tena kurudi leba. Baada ya kama siku 50 hivi hali yake ya kiafya ilirudi kawaida na tuliendelea na kupena uroda kama kawaida na zikifika zile siku za kupata mimba tumekuwa tukitumia kondom au kuacha kufanya. Ana cycle ya siku 28 -30 na kwa mwezi huu alitarajia kuanzia mzunguko mpya kati ya tarehe 10 hadi 12, sasa amekuwa na wasiwasi na kubwa kuliko yote aaogopa kutoa mimba na mimi pia naogopa hasa kwa kulinda afya yake.
*Swali langu kwenu naomba kujua kipi kinaweza kuwa hatari zaidi kati ya kutoa mimba ya mwezi mmoja na kuendelea kulea mimba wakati ametoaj kujifungua miezi minne iliyopita?*
take 60,000,000,000,000 like!Zaeni, kwnn mtoe na wkt mpo ndani ya ndoa.
Watoto wote wawili alijifungua kawaida na mara zote amepata support yakutosha kabisa.Mkuu kwanza nenda kaconfirm kama kweli amepata mimba. Ila elewa kuwa kwa muda huu mkeo ana someone sort of postpartum depression ambayo ni hali inampata mama akijifungua , uchovu , maumivu ya miezi 9 ya nyuma nk anaweza kuhisi hataki tena kuzaa hivyo pengine hata kusema hatazaa tena ni hali ya hormone na madadliko ya mwili tu.
Kuwa nae karibu mpe muda arudishe afya yake (kuzaa mtoto over 4kg sio mchezo mkuu wengi huwa 2.5-3kg). Kwa upendo wako na muda atarecover tu na in future atabeba mimba ingine tu.
Kama kweli amepata mimba kama amejifungua kawaida hamna risk kubwa kama kuna msaidizi nyumbani . kama ni operesheni basi muoneni daktari wenu ila all in all hamna major risk siku hizi medical field ime advance sana utapewa maelezo ya kumanage situation hizi. My sister alipata mtoto 2005 Oct kwa operesheni na mtoto alipokuwa 6 month alibeba mimba na alijifungua tena kwa operesheni ila dokta alikuwa anampa mapumziko muda mwingi.
Please ondoa wazo la kutoa mimba ni chukizo kwa Mungu
take 60,000,000,000,000 like!
Nashukuru kwa ushauri mzuri. Sina tatizo na kupata mtoto mwingine, wasiwasi wangu ni afya ya mama maana baada ya kujifungua aliumwa kiuno karibia miezi miwili ila tulisikiliza ushauri wa wataalam aliacha kubebe vitu vizito au kuinama hadi hali hiyo iishe kabisa na kweli ana ili isha baada ya miezi miwili. Itabidi tuende hospitali next wk then tutafanya atakacho shauri daktari
Nitasimamia hili. Nimepitia uzi mmoja wa Dada aliye toa mimba humu jukwaani sita penda kimpate mke wangu. Tutapambana na tutatoboa tuuHakuna matatizo yoyote kama kujifungua atajifungua vizuri tu, kama mkiamua kutoa ndio inaweza kua mbaya zaidi.
* In every decision you make there is a price to pay.
Ningeogopa ningeshafanya maamuzi mkuu. Lengo nikukwepa lile neno ningejua . ... !Jitu zima mnqogopa watoto
Maamuzi ya busara kbs, hakuna sababu ya kutoa.Nitasimamia hili. Nimepitia uzi mmoja wa Dada aliye toa mimba humu jukwaani sita penda kimpate mke wangu. Tutapambana na tutatoboa tuu
Hebu upandishe huo Uzi wake hapa niuone mkuuNingeogopa ningeshafanya maamuzi mkuu. Lengo nikukwepa lile neno ningejua . ... !
Huwa naamini penye wengi kuna mengi