Ana mtoto wa miezi minne na wiki 3. Anahisi amepata ujauzito ananiuliza afanyeje nasita nimshauri lipi hasa kwa afya yake

Halord

JF-Expert Member
May 1, 2016
213
105
Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili, wa kwanza 10 April, 2015, wapili 02 Feb,2019. Mtoto wa kwanza alizaliwa na 3.74 kg na wapili amezaliwa na 4.1kg. Tangu amejifungua tu mtoto wapili aliniambia hataki kuzaa tena nami siku taka kubishana nae nika mjibu hata mimi watoto wawili wananitosha japo ningetamani nipate wamwisho wakike nimpe jina la mama yangu. Alinijibu kwa utani hataki tena labda nikitaka nikazae nje ya ndoa ila yeye hataki tena kurudi leba. Baada ya kama siku 50 hivi hali yake ya kiafya ilirudi kawaida na tuliendelea na kupena uroda kama kawaida na zikifika zile siku za kupata mimba tumekuwa tukitumia kondom au kuacha kufanya. Ana cycle ya siku 28 -30 na kwa mwezi huu alitarajia kuanzia mzunguko mpya kati ya tarehe 10 hadi 12, sasa amekuwa na wasiwasi na kubwa kuliko yote aaogopa kutoa mimba na mimi pia naogopa hasa kwa kulinda afya yake.
*Swali langu kwenu naomba kujua kipi kinaweza kuwa hatari zaidi kati ya kutoa mimba ya mwezi mmoja na kuendelea kulea mimba wakati ametoaj kujifungua miezi minne iliyopita?*
 
Kwanza hebu nenda duka la dawa hapo nje na BUKU 1 kanunue kipimo kinaitwa UPT.mpime mkojo kujiridhia kama kweli imenasa then nunua dawa hapohapo wala sio bei kubwa
 
Kwanza hebu nenda duka la dawa hapo nje na BUKU 1 kanunue kipimo kinaitwa UPT.mpime mkojo kujiridhia kama kweli imenasa then nunua dawa hapohapo wala sio bei kubwa
Bila shaka una maanisha ya kuitoa kama ipo. Jee ukilinganisha madhara ya kuiacha na kuitoa lipi lina afadhali kidogo. Hapa naelekea kutafuta kipimo ila bado sijajua nisimamie upande upi hadi sasa kati ya kuitoa au kuilea
 
Dah hiyo ni hatari mzee mimi nina mtoto wa miezi mitatu ila tayari wife nishamdunga vijiti, so now tunajipimia bila presha huku dogo akituchezesha gwaride, hadi hapo tutakapoamua kumleta mdogo wake
Yani mkuu bila hivyoo lazima uaribu kazi walahiMe kapigwa kitanzi
 
Nilifikiria naweza kuenda na calendar kumbe nimejidanganya
Kuanzia sasa elewa kuwa mke wako akishazaa, siku zake lazima zivurugike...

Wapo wanawake wanaonyonyesha vichanga wanakaa miezi 6 bila kupata siku zao.

Wapo pia kama mkeo wanaopata siku zao bila kueleweka na nivigumu kuzitambua..

Kwa hiyo ni lazima uchukue tahadhari ili kuepuka hili lililotokea.

Kuhusu hiyo mimba, nenda hospital kapate ushauri wa kiafya na kitaalamu namna ya kuweza kukabiliana na hilo jambo.
 
Moja Kati Ya Viashiria Vya Uchumi Kukua Ni Idadi Ya Watu
Hata India Na China Zimeendelea Kwa Kuwa Na Idadi Kubwa Sana Ya Watu.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

*Zaeni*
 
Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili, wa kwanza 10 April, 2015, wapili 02 Feb,2019. Mtoto wa kwanza alizaliwa na 3.74 kg na wapili amezaliwa na 4.1kg. Tangu amejifungua tu mtoto wapili aliniambia hataki kuzaa tena nami siku taka kubishana nae nika mjibu hata mimi watoto wawili wananitosha japo ningetamani nipate wamwisho wakike nimpe jina la mama yangu. Alinijibu kwa utani hataki tena labda nikitaka nikazae nje ya ndoa ila yeye hataki tena kurudi leba. Baada ya kama siku 50 hivi hali yake ya kiafya ilirudi kawaida na tuliendelea na kupena uroda kama kawaida na zikifika zile siku za kupata mimba tumekuwa tukitumia kondom au kuacha kufanya. Ana cycle ya siku 28 -30 na kwa mwezi huu alitarajia kuanzia mzunguko mpya kati ya tarehe 10 hadi 12, sasa amekuwa na wasiwasi na kubwa kuliko yote aaogopa kutoa mimba na mimi pia naogopa hasa kwa kulinda afya yake.
*Swali langu kwenu naomba kujua kipi kinaweza kuwa hatari zaidi kati ya kutoa mimba ya mwezi mmoja na kuendelea kulea mimba wakati ametoaj kujifungua miezi minne iliyopita?*
Umefurahisha sana. Mbona miezi minne kawaida! Kijana wangu alimpachika mimba mke wake mwezi mmoja baada ya kujifungua mke wake. Yaani baada ya miezi 11 mke wake alijifungua mtoto mwingine
 
Umefurahisha sana. Mbona miezi minne kawaida! Kijana wangu alimpachika mimba mke wake mwezi mmoja baada ya kujifungua mke wake. Yaani baada ya miezi 11 mke wake alijifungua mtoto mwingine

Pacha wa nje huyu kiboko
 
Kwa ushahidi wangu niliouona kwa watu tofauti tofauti na katika familia yetu (ukoo) siku zote mtoto ambae anataka kutolewa mimba yake lakini ikaachwa akazaliwa huja kua mwokozi wa familia na msaada mkubwa sana katika familia hasa kiuchumi, please nakushauri tu kama ni kweli mpeni haki yake ya kuishi, mkuu maisha ni haya haya hakuna maisha mengine kusema eti akizaliwa uchumi uta shake, hapana hizo ni excuse tu ambazo shetani huwa feed watu ili wafanye abortion.

excuse are not valid .. say no to abortion.
 
Mkuu kwanza nenda kaconfirm kama kweli amepata mimba. Ila elewa kuwa kwa muda huu mkeo ana someone sort of postpartum depression ambayo ni hali inampata mama akijifungua , uchovu , maumivu ya miezi 9 ya nyuma nk anaweza kuhisi hataki tena kuzaa hivyo pengine hata kusema hatazaa tena ni hali ya hormone na madadliko ya mwili tu.
Kuwa nae karibu mpe muda arudishe afya yake (kuzaa mtoto over 4kg sio mchezo mkuu wengi huwa 2.5-3kg). Kwa upendo wako na muda atarecover tu na in future atabeba mimba ingine tu.

Kama kweli amepata mimba kama amejifungua kawaida hamna risk kubwa kama kuna msaidizi nyumbani . kama ni operesheni basi muoneni daktari wenu ila all in all hamna major risk siku hizi medical field ime advance sana utapewa maelezo ya kumanage situation hizi. My sister alipata mtoto 2005 Oct kwa operesheni na mtoto alipokuwa 6 month alibeba mimba na alijifungua tena kwa operesheni ila dokta alikuwa anampa mapumziko muda mwingi.

Please ondoa wazo la kutoa mimba ni chukizo kwa Mungu
 
Back
Top Bottom