Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.

Ngoja nikupe mbinu , Mwambie unampenda, ukinywa maji unamuona kwenye glass, usiku hulali, then malizia kwa kuandika barua alafu mwisho chini una BUSU alama za lips zitokee. Hapo utakuwa umeng'oa Mkuu.
 
Anyway furaha yako huzuni ya jamaa ila ipo siku yatakukuta kama hayo.kama upo tayari we jitose.carpe diem
 
mkuu taratibu! .. kuna jamaa huko mbeya waligandana....! :nono:
yeah tru dats jembe afu huyu jamaa cjui niaje coz duu kasha mteli kuwa ana mchizi lakini bado mchizi anazidi kumganda duu hvi kama yeye ndo angekuwa ndio mmiliki en anasikia kuna mkali anataka kumpindua angefanyaje acha hzo mambo wazuri hawaishi alwayz new brand zina zidi kuja
 
By the way from the heading "Mimi nampenda Zaidi" ?

Unajuaje kama wewe unampenda zaidi ?, upo kwenye roho ya jamaa kujua kipimo cha mapenzi yake kwa huyu binti
 
Kama wote mnapendana hakuna kitakachoshindikana, usiforce acha mambo yatokee automaticaly..

ila mama isac hi ya kuacha mabo ya tokee automatically hua kama bahatitu.
mambo yanaweza yasitokee aisee.......! pamoja na kua ndo njia sahihi na convinient kuliko zote.
 
Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
Tumia elimination method tu, ingiza pesa kusawazisha vigingi vyote!
 
Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
Mpe hela
 
Back
Top Bottom