Ana mpenzi wake,ila na mimi nampenda zaidi.Nifanyeje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ana mpenzi wake,ila na mimi nampenda zaidi.Nifanyeje

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Deejay nasmile, Apr 3, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Mbinu gani tena upewe,we mweleze ukweli
  ongeza ufanisi na ukaribu.Mdogo wangu
  Hakuna kisicho wezekana
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  dah mwenzio nimelia weeeee lakini anachodai tatizo ni wapi ataniweka kwa sababu tayari ana jamaa,ila sio kwamba hanipendi
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Zoea kupindua. Na wewe lazima utapinduliwa tuu.
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  mmhh kwa jinsi ninavyompenda vyovyote vile iwe tu!!!
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kwan we unataka kumtafuna tu thn usepe au unataka kuweka kambi?
   
 7. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kama wote mnapendana hakuna kitakachoshindikana, usiforce acha mambo yatokee automaticaly..
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa mganga wa maruhani, tatizo litakuwa limekwisha...............Atakufuata mwenyewe...............LOL
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mkuu taratibu! .. kuna jamaa huko mbeya waligandana....! :nono:
   
 10. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,826
  Trophy Points: 280
  Acha kuwa king'ang'anizi, ashakuambia ana mtu wake tayari: au unataka mpaka jiwe litoe damu ndio uelewe du!.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wewe using'ang'anize mapenzi kama anamtu wake, utaishia kuliwa pesa au upozewe muda wako. Ngoja nikupe ushauri as woman, inabidi wewe sasa ujiheshimu, msalimie kama kawa na heshima yako usipunguze bali kuwa serious just mean business.

  Atakaa kujiuliza mbona somehow umemchunia,unless hiyo relationship yake iko over the moon otherwise atakutafuta yeye mwenyewe.
   
 12. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Duh nimeipenda sana hii UPOPO.Aongeze ufundi wa maneno na kuchombeza chombeza tu
   
 13. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sina mbinu acha niende sredi nyingine
   
 14. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tatizo kumpindua tuu, nenda kabargain vizuri ss,

  mshushia binty mistarii ya kispaniola loz! atakuelewa tuu.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Km atakubali kupinduka na akahamia kwako,
  Usije ukaona ajabu akipinduka kwa mwingine na kukuacha!!!

  Jitahidi ila ukifanikiwa ukumbuke na wewe laweza kukutokea pia.
   
 16. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwanaume kama kupe ya nin wakati wanawake wapo wakutosha hapa mjini..
   
 17. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Swali muhimu sana hili. Teh teh teh
   
 18. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Muache aendelee na alie nae kwani mapenzi ya kulazimisha sio mazuri.
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kupinduliwa kawaida sana kwenye maisha haya bwana utampata wapi wakwako peke yako??
  Unayempenda alishapendwa aatii!
   
 20. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kwani we ni shoga?
   
Loading...