Ana Makinda afichua siri ya posho kwa wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ana Makinda afichua siri ya posho kwa wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bulesi, Feb 29, 2012.

 1. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Umewataja wanawake viongozi na madudu ya aibu waliyoyafanya katika nyadhifa zao lakini umemsahau kinara wao Gertrude Mongella , aliyekuwa mbunge wa Ukerewe na Rais wa bunge la Afrika na madudu aliyoyafanya yaliyoiaibisha nchi akiwa Rais wa bunge la continent!!
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Umemsahau Sophia Simba. Sometimes najiuliza huyu mama akili zake sijui zimekalia wapi.
  Yuko kimipasho pasho zaidi, kwa jinsi alivyo, wakikutana na mkuu wa kaya sijui huwa wanajadili nini!
   
 3. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mmemsahau Dr Asha Rose Migiro. Amechemsha UN. Amepelekea mpaka Ban Ki Moon kutomuongezea mkataba na kumtaka arejee TZ mwezi wa 6.
   
 4. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sawa kabisa hata katika maisha ya kawaida ya ndoa kama Mzee huachi kodi ya mezani Mama anaweza kuomba talaka ati!!!! Teh!! teh!! teh!
   
 5. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hiv Anna Abdallah yuko wapi siku hizi?
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  TUMESEMA WANAWAKE WAKIWEZA, WANAWEZESHWA! kosa bado liko kwa wanaume walipoweza hatukuwawezesha bwana, but wanawake wapo smart sana!
   
 7. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mmemsahau Anna Kilango bungeni full kelele kusapoti ujinga na kupinga mambo ya maana.
   
 8. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nampa dole Halima Mdee kwa kujumuika na wananchi CHAKO Ni CHAKO
   
 9. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Mpaka sasa naona list ina watu wafuatao
  1. Anna Mkinda - Speaker wa bunge JMT
  2. Zakia Meghiji - Aliwahi kuwa waziri Maliasili, Utalii na waziri wa fedha.
  3. Magreth Sitta - Aliwahi kuwa waziri wa Elimu.
  4. Blandina Nyoni - Aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya afya.
  5. Celina Kombani - Waziri wa sheria na katiba
  6. Getrude Mongella - Aliwahi kuwa Mbunge wa Ukerewe na Rais wa bunge la Afrika.
  7. Sophia Simba - Aliwahi kuwa waziri Ustawi wa jaimii jinsia na watoto.
  8. Dr Asha Rose Migiro- Naibu katibu mkuu UN.
  9. Anna Kilango - Mbuge Same Mashariki
  10. -----------
  11. -----------
  12. -----------

  Je ni hao tu? List iendelee tafadhali!
   
 10. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mmemsahau Anna Kirago Malechela domo kama bakuli, na mghani wa mashairi bungeni.
  Huyu ni mzigo kwa walipa kodi wa nchi hii.
   
 11. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Halima cyo mwanamke? au kwa kuwa cdm? Acheni upendeleo wa kiitikadi 2015 tutawatafuna tena kwa njia yeyote
   
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Anna Abdalla huwezi kumuacha kwenye hiyo list...alichemsha mbaya wizara ya afya, angalau alikuwa anasaidiwa na Dr Hussein Mwinyi. Na mwingine ni Aisha Kigoda, huyu naye wizara ya afya hawataki hata kumsikia...alikuwa mtukanaji mzuri wa maDaktari, halafu mchawi kweli...alikamatwa 'laivu' anaroga Bagamoyo kwa mganga maarufu Sharifu!
   
 13. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nimewakumbuka Lucy Owenya, Suzan Lyimo na Chiku Abwao ni wasinziaji wazuri mjengoni
   
 14. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyu kapewa upendeleo na Sir God manake hata sauti ni ya kiume. Ndo maana alijua siasa iko chadema akinguruma watu wanatega masikio mpaka hao mahara wa watu mjengoni. Hivi Vicky Kamata alivyoimbaga pale CCM kirumba mbele ya Mkuu ndo tiketi ya ubunge wa kuteuliwa????Kazi kweli kweli. Morogoro pale..former waziri...Singida pale Kifaa cha chuo...ukija huku masalia salia kuna wakina Vicky. yani ni full makoloni. Raha jipe mwenyewe. Tafsiri hii!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. R

  RUTARE Senior Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu kwenye red nimesahau alifanya madudu gani tukumbushane tafadhali
   
 16. R

  RUTARE Senior Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuko Bungeni kwenye vile viti vya upendeleo (maalumu) anaendelea kuvuta posho ya 330000 huyu mother yupo mjengoni kabla ya uhuru ameshazeeka hata sauti imekuwa nzito akisisimama kuongea ni kuisifia serikali. period
   
 17. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bi Kiroboto kashajichokea,maana hakujua kwa cheo chake anatakiwa awe na kauli yenye mashiko au ushahidi,WABUNGE ZAIDI YA NUSU WANATAKA KUACHA UBUNGE?AWATAJE JAPO KWA NUSU TU.POMPOMBO HUYO!
   
 18. C

  CRITICAL MIND JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2016
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 402
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  just bumping this relevant thread....
   
Loading...