Ana maana gani huyu Binti?

Shikamoni, habarini

Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa.

Iko hivi, kuna jamaa yangu tumesoma nae alinipasia namba ya ex wake wa huko Moshi, huyu Binti ni fresher nikaona sio mbaya nikijuana nae niweke urafiki, niongeze idadi ya marafiki wa kichaga na story za hapa na pale.

Kwa story za jamaa, Binti ni social sana na nimeshuhudia Hilo, mrembo kama mmavojua watoto wa kichaga, shepu ipo, rangi nyeupe, lips Nene, vidole virefu etc

Nikamchekii Binti, nikajitambulisha mie nan, kozi yangu, mwaka wangu mwishon nikasema napenda tufahamiane, Binti akarespond vyema kote.

Basi, kuna siku nikamcheki normal sms nikampanga tuonane weekend tukatembee maeneo fulan hivi kuna hewa nzuri, she was curious to know that place, kuonesha kuwa siko desperate sana nikamwambia anicheki akihitaji twende huko, since hapo hakujibu sms zangu. IKUMBUKWE hapo hakuwa amesave namba yangu sababu mara kadhaa ukichat nae anaonesha kama ni stranger kwake, May be anaclear na chats zetu.

Baada ya kuona kimya kwa siku kadhaa, nislpomtafuta hanitafuti nikaona sio case sikuwa namtaka awe mpenzi wangu but kama rafiki cha kufia nn?? NIKAKUMBUKA UZI WA Da'Vinci ... Ulishawahi lazimisha mapenzi, urafiki ... Nikaona isiwe kesi FUTA NAMBA, CLEAR CHATS maisha yakasonga.

Sasa kilichonifanya niwape hii soga, Leo Niko mishe mishe kuna namba ngeni tatu zimenicheki, nilivo settle ikabidi nianze pigia Moja baada ya nyingine. Nikapiga namba ya kwanza tukaongea na kumalizana ,huyu ni ndugu yangu alinitafuta kwa namba ngeni.
Hizo namba mbili nikipiga Moja inatumika, nyingine inaita haipokelewi, baada ya muda ikapokelewa .... Inasikika sauti ya mdada ambaye hayuko akilin mwangu nikajaribu kuuliza jina hakutaka nambiaa nikaona sio kesi akakiri kakosea namba, tukaagana.

Ikabidi nisevu namba kwa majina ya "ngeni" na "ngenii" chapu, nikaenda Whatsapp na uzuri zote ziko Whatsapp, Moja Iko online ingine inaonesha last seen ya muda nikagundua huyu mtumiaji wa FM Whatsapp. Kati ya zile account mbili za Whatsapp Moja kumbe ni ya huyo Binti ,nliigundua dp yake na sura yake, ikabidi nimpigie sasa.

Nimempigia nikakuta anaongea kama yule dada aliyesema awali kakosea namba, NIKAMUULIZA kama ndio yeye akagoma lakini mwishoni akaja kubali akisema ni namba yake ya voda, basi tumepiga story anataka tuonane nikamtembeze huko nilikosema.

TATIZO, Kati ya zile account 2 zake za Whatsapp Moja kaweka DP inayosema ... BIRTHDAY LOADING.... . SASA nahofia asije akawa anajilengesha kwangu na zile kesho birthday yangu naomba zawadi na ISSUE SIO zawadi Kwann anitafute siku yake ya tukio wakati siku zingine alinichunia Hadi nikafuta namba na kumsahau AU NI MIE TU NIME overthink mtoto anataka anikaribishe kwa birthday yake

I need discernment skill on this
Mkuu utaenda kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwan hutaamini. All in all (in baba levo voice) unatudanganya mtt ana shape na ni mchaga. Ni lin mchaga akawa na shape au uliona tumbo ukajua shape
 
Sema sababu ya issue za kutunziana ID tu ningekuoneshaa
 
Mkuu utaenda kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwan hutaamini. All in all (in baba levo voice) unatudanganya mtt ana shape na ni mchaga. Ni lin mchaga akawa na shape au uliona tumbo ukajua shape
Mbona wolper analoo
 
Wachaga wamekukosea nn mkuu?

Samahani mkuu umeshafunga shule?
 
Back
Top Bottom