Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Mh. Mwigulu naomba connection na mimi niingie kwenye system hata nikianzia ngazi za chini sawa.

Elimu yangu Bachelor Degree nina IQ karibia namfikia Einstein.
 
Yes, HILI NI TATIZO, HII NI HOJA YA MSINGI.

Tar 20 tulikuwa na mjadala mpana SINGIDA, TATIZO HILI LINAWEZA KUPUNGUA KWA KUWEKEZA KWENYE MODERNIZATION OF PRODUCTION PRICESS MIKOANI KWETU, ILI SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZITOE FAIDA ZINAZOLIPA HIVYO ZITENGENEZE AJIRA. HIVYO TULIKUWA NA RCC. TULICHAKATA SANA.

BUT AJIRA NI TATIZO NA NI MAADA PANA SANA, HAINA JIBU MOJA
Leo kwa Mara ya kwanza ndio nimekutana na Jibu la kisiasa

Hongera Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ana majina mawili kama Makonda. La ukweli ni Lameck Madelu na la kufanyia kazi Mwigulu Nchemba. Ogopa sana mtu anayebadili hadi majina ya baba na Babu.
anaweza kubadilisha mpaka nchi na uraia ikiwa anataka kupata kile anachohitaji.
 
Naomba tumuache kijana wa watu kwa maswali mnayo mswalika hajatoa majibu yaliyojitosheleza. Kwa halii yawezekana hata huko alipo mapigo ya moyo yapo juu.

Tumpe hongera mh. Raisi Magufuli kwa kutoona umuhimu wa huyu jamaa . Maana kama angeendelea kukalia kiti cha uwaziri mpaka leo wananchi wengi wangekuwa hawajulikani walipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa

SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC

Ungeweka wazi yapi unajibu na yapi yasiulizwe kabisa. Mwenyewe umealika watu wakuulize maswali hapa hapa iweje utake kutafutwa kwa jambo lililoulizwa hapa?
 
Swali la Kwanza: Tangu ndugu yako Tundu Antiphas Lissu mghwai amiminiwe risasi Dodoma hujawahi kumpigia simu wala kwenda kumpa pole kwa kumuona alipokuwa Nairobi na hataa alipoenda Ubelgiji Kwanini?

Swali la pili: Hii roho ya kigaidi uliyonayo utaiacha lini??

Swali la tatu: Yule punda uliyemgonga Dodoma anaendeleaje??

Munio wakho.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tumuache kijana wa watu kwa maswali mnayo mswalika hajatoa majibu yaliyojitosheleza. Kwa halii yawezekana hata huko alipo mapigo ya moyo yapo juu. Tumpe hongera mh. Raisi Magufuli kwa kutoona umuhimu wa huyu jamaa . Maana kama angeendelea kukalia kiti cha uraisi mpaka leo wananchi wengi wangekuwa hawajulikani walipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
amebip sasa watu wanampigia alafu anaogopa kupokea maana hana analoweza kujibu. unajua hawa wanasiasa wanafikiri watanzania ni wale wale wa zama za kidumu chama cha mapinduzi.
 
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Mh. hata ukiulizwa kuhusu Iramba hali itakuwa hivyo hivyo hutokuwa na majibu ya kutoa maana nyie ni watu wa kusifia sifia tu kwa Raisi ili mpate chakula chenu na watoto wala sio kwa sababu ya wananchi.
ila nikupongeze kwa kuja huku jamvini walau kujaribu kutafuta maswali.
 
Nilitegemea Muulize Maswali Kwa mh mbunge ..Maswali fikirishi yenye mantiki badala yake mnatoa kashfa na kumwambia cheo dhamana wakati hilo linajulikana...cheo sio cha Milele hata Mengi amekufa ameacha mahela yake hapa hapa Duniani..sasa sijui mlitaka Jamaa awe Waziri Milele??
Muulize wewe maswali yenye mantiki wao waache waulize yanayowagusa,waache watoe machungu yao, watu wanajua jinsi wanasiasa wa bongo walivyokua na sura mbili,sura ya kwanza ni ya wakati wa kuomba kura na sura ya pili ni baada ya kupata ours.

Hivyo nakushauri waache watu watoe ugwadu mioyoni mwao. Ila wewe usiache kuuliza ya mantiki.
 
Back
Top Bottom