Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Kaka Mwigulu kuhusu kuvaa scaff siyo wote wanamaanisha ni wazalendo. Wengine wanavaa kuwaadaa wakubwa wao. Hivi Kangi Lugola yale mamifuko ya shati ya bendera yote kumbe mwizi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwigulu na Kangi ukiwaweka kwenye mzani wa Mungu wa ubaya na dhambi kubwa kubwa tu basi Kangi ni Malaika wa Mbinguni na Mwigulu ni Shetani wa motoni na mtu akitaka kujua hayo ni rahisi tu fanya "Compare and contrast" utaona Kangi ni cha mtoto, lakini upande wa pili jamaa namsifu hanaga aibu kabisa na sijui ule ushahidi wa uhaini wa Rwakatare aliosema anao hata kwa Mungu atautoa ajabu mpaka leo kimyaaa, Igunga ?, Iramba Ndago? Viroba Baharini? Viroba mto Ruvu?, Watu kupotea bila sababu? Bomu Olasiti Arusha? Mambo ni mengi muda mchache!
 
Saidia CHMT ya Iramba ipate angalau Kagari kamoja cha Kufanya Supportive Supervision kwenye Health Facilities zao ili wasiendelee kutumia Ambulance katika Field zao.

Nakukumbusha tu Mkuu Mwigulu Nchemba
 
Huna TAARIFA SAHIHI, HATA SASA NIKO NA TIMU MWANZA. KILA SIKU NATOA 1M KWA AJILI YA TIMU
Najua haya ni maamuzi yako binafsi , kama utaona inafaa jibu

Hili litaenda kwa muda gani mkuu ? Mil 365 kwa mwaka , pesa yako inarudi vipi mkuu , je, nje ya siasa wajishughulisha na nini ..mfanya biashara kama kina msukuma na kishimba au ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu na Kangi ukiwaweka kwenye mzani wa Mungu wa ubaya na dhambi kubwa kubwa tu basi Kangi ni Malaika wa Mbinguni na Mwigulu ni Shetani wa motoni na mtu akitaka kujua hayo ni rahisi tu fanya "Compare and contrast" utaona Kangi ni cha mtoto, lakini upande wa pili jamaa namsifu hanaga aibu kabisa na sijui ule ushahidi wa uhaini wa Rwakatare aliosema anao hata kwa Mungu atautoa ajabu mpaka leo kimyaaa, Igunga ?, Iramba Ndago? Viroba Baharini? Viroba mto Ruvu?, Watu kupotea bila sababu? Bomu Olasiti Arusha? Mambo ni mengi muda mchache!
Kesho Siku ya IBAADA KATUBU KWANZA NDIO UWATAZAME WENGINE. MAANA MBINGUNI HATUTAKWENDA KWA KUWAHUKUMU WENGINE
 
Siamini kama huyu ni mwigulu Chemba mwenyewe, may be kuna mtu anamjibia! But kama ni yeye kweli basi hakuwa member wa muda mrefu kwakuwa kwa anaeijua JF na mlengwa wake asingekuja hapa na kujibu kila comment kwa style hiyo wakati hata akina Zitto, Lema na wengine huwa wakiweka nyuzi zao hawaji kuzitetea na kujibu kila comment

Mimi sio Zito Wala sio Lema
 
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Iramba bado ina kiu ya maji si ndio?
Sio MAJI TU, MAENDELEO HUTENGENEZA CHANGAMOTO, HIVYO KILA SEKTA KIU IMEONGEZEKA ZAIDI. MFANO UMEME, MABWENI the same
Jukwaa lilitarajia ujibu jinsi umepambana kupunguza kiu ya maji jimboni kwako wewe unakuja na majibu kama unaongea na vijukuu vyako.
Jikite kwenye kilimo, siasa waachie na wengine.
 
Tanzania na Watanzania ni masikini wa kutupwa wakati tunayo madini gesi vivutio vya utalii ardhi yenye rutuba je?
hauoni kwamba umasikini huu ni laana ambayo chanzo chake ni CCM mkuu?
 
Back
Top Bottom