Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

NAONESHA MSISITIZO πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„


Duh!

Nawe ni mbunge, 'msomi' mwenye PhD, na mtu uliyewahi kuwa waziri!!

Kazi ipo.

Mh. Waziri watu wana hasira walishachubuka mabega wanabeba maboksi. Muda siyo mrefu utawaona wanapiga hodi ofisini kwako maana sasa baada ya Corona inabidi hata zile za kubeba maboksi ziwe ni za wazawa!
Huyu mtu mimi huwa kila nikimlalamikia, watu wananiona nina dharau! Mafuta Shell kuanzia leo bei TZS 1500/= . Mara ya mwisho bei hii ilikuwepo mwaka 2009!. Huyu yeye hata haelewi hii ina maana gani kwake, halafu yeye anaanza kukashifu viongozi na the most learned!
 
NAKUSHAURI 2020-2025 USIGOMBEE WALA USITETEE UBUNGE WAKO, NAKUSHAURI NI MUDA SASA WA WEWE KUPUNZIKA NA KUKAA BENCHI KUACHIA WENGINE WAONGOZE JIMBO LAKO LA UBUNGE...NAWASILISHA KAMA USHAURI TU...HATA KAMA WANANCHI WAKITAKA UENDELEE NAKUSHAURI UPUNZIKE SASA MIAKA 15 SIYO HABA.
Hii inaonyesha kabisa kuwa unajua kabisa kuwa akigombea lazima atashinda! Umefanya vizuri kumhakikishia hilo. Najua kama ungekuwa unajua kuwa akigombea atashindwa, ungemhamasisha aende kugombea ukiwa unajua kuwa hata akienda hana madhara kwa sababu hawezi kushinda
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
ila mwanangu umechomoa battery. Hebu tujibu ni kwanini mmeamua kupandisha kodi kwenye miamala? na mafuta pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nguruvi3, kujua nani kamwaga damu ya nani on a line of duty na kutomtaja, hakupelekei karma yoyote kwa Mwigulu Nchemba na kujua huko hakumfanyi yeye kuwa responsible or an accessory before the fact or after the fact.

Mfano, on the line of duty, Mwigulu Nchemba anamjua aliyempoteza Ben Saanane, Azory Gwanda na waliomshambulia Tundu Lissu, lakini hawataji, kutowataja kwake hakumsababishii hatia yoyote, wala hatapata adhabu yoyote ya karma.

Hata waliotekeleza uovu huo, kama wametekeleza kwa amri halali on the line of duty, pia wanakuwa hawana hatia yoyote kwasababu wao walikuwa wanatimiza wajibu wao, na kama wameajiriwa kumwaga damu na hiyo ndio kazi yao, wakimwaga damu yoyote kwa amri halali, huko ni kutimiza wajibu wao na damu hiyo haitakuwa juu yao, ni kama mnyongaji, au wanajeshi vitani, sheria ya vita inataka wa target military targets na kama ni kuua, waue wanajeshi na sio civilians, lakini vita haina macho, au kombora halichagui nani mwanajeshi na nani civilians kama Hiroshima na Nagasaki, hadi sisimizi hakusalia, sasa wanajeshi vitani wanapoua innocent civilians damu yao haiwi juu ya wanajeshi hao bali aliyeanzisha vita hiyo au aliyetoa amri hiyo.

Hivyo damu ya Ben Saanane, Azory Gwanda (if shed) na Tundu Lissu ni juu ya waliopanga na sio waliotekeleza!.
P
....Karma
 
Mawazir wa bongi bwana wakitumbuliwa ndio utawaona humu

Uz huu baada ya kutumbuliwa na magu ndio akafungua

Mama akimtumbua utamuona humu

Muwe mnakuja hata mara Moja moja kujibu hoja ndugu mawazir tunamaswal mengi sna ya kuwahoji
 
Back
Top Bottom