Ana kwa ana na Dkt. Mwakyembe: Awashangaa Waliomuona yeye tu, Lakini wengine hawakuwaona!

After the coming general election I will feel like we are looking into an endless abyss, that no hope remained for the moral sh*thole the Tanzania has become. However the combination of the incredible potential of a Lowasa-led CHADEMA and the UKAWA, with political commentators like Pasco'JF member in action, and the situation seems already massively transformed. I have real hope the Tanzania can evolve to be something more than the shagging a-hole for CCM scumbags. Vive la revolution.
 
Ndo maana mwanasiasa akisema anamuogopa Mungu tujiulize Mungu yupi?
Mkatoliki akifuatwa na Pengo ubavu wa kukamkatalia Pengo sio rahisi hata kama
mahitaji ya Pengo sio 'maslahi' ya Taifa kwa wakati huo

Kweli kabisa, Mwaka huu Pengo lazima akinukishe.Mpasuko wa dini nje nje

Ccm karata ya udini imerudi mezani baada ya ukanda kuchemsha,

Vita ya kkkt na vatican ipo wazi kwa sasa

Mimi msimamo wangu ni team mabadiliko thehebu langu nitakutana nalo mbele ya safari.
 
Mara nyingi nafuatilia mabandiko yako kwani angalau yana kuwa objective kidogo, kulinganisha na mabandiko mengi yanayoandikwa na mengine.

Hata hivyo kama wasemavyo
Waswahili "kila shetani na mbuyu wake" LOWASSA NI MBUYU WAKO WEWE PASCO
Na hilo ndio ulilosahau kutuandikia kwenye hili bandiko lako
Unamtukana na kumsema amehongwa leo Dr slaa kwa kumsema Lowassa fisadi! Unapingana na Ukweli?

hebu tuambie kwanza mtu aliye muhonga Dr slaa alipo mueka lowassa kwenye List of shame ndipo tutashughurika na huyu anayemhonga sasa.

Pasco unafanya propaganda na tayari umeshakua sehemu ya propaganda machinery ya CHADEMA

Damage imetokea na sasa mmekuja kujaribu kuokoa kwa ku employ "Damage control strategy"
Ndio maana mnashughurika na mjumbe badala ya ujumbe
Mnatulazimisha tujadili watu badala ya masuala.
Nikuonye tu vita hii utashindwa licha ya mahaba uliokua nayo Kwa Lowassa kwa sababu Ukweli daima husimama.
Pasco leo wewe wakumuita Dr slaa Yuda!? kipi hasa kisa na mkasa!?
Endelea tu kua mchekeshaji wa mfalme ipo siku utailipia gharama ya kua mchekeshaji kwani karma haitakuacha.
Hata mimi nimeshangaa.

Kwa sasa wanafanya njia zote chafu ili kupambana na hoja za Dk. Slaa.

Kwanza ametoa maelezo marefu ili kujenga hoja ya kutaka kutuaminisha kama ameongea na Dk. Mwakyembe lakini kitu muhimu anachoshindwa kukifanya ni kutueleza yeye ni nani? huyu Pasco ni nani hapa Jamiiforums. Kwa nini asije na jina lake ambalo ni verified ili ampe nafasi Mwakyembe ya kujibu hoja kama kweli alikutana naye.

Pili, anajaribu kunogesha hoja zake kwa kusema Mwakyembe alidai alikuwa na so and so huku akisahau kuwa msingi wa bandiko lake ni kutueleza yule aliyekuwa na Mwakyembe. Kwa nini asituambie huyo so and so ni nani, lakini kikubwa, anajichanganya katika maelezo yake kwa kusema kuna posibility Dk. Slaa amehongwa lakini hitimisho lake anamalizia kwa kusema Dk. Slaa amehongwa.

Hakuna suala gumu kama kuujengea hoja uwongo ili uonekane ukweli.

Hizi ni propaganda za kizamani sana ambazo haziwezi kujibu hoja za Dk. Slaa.
 
Usii-divert hoja hii ya msingi Ukaielekeza kwenye mlengo wa kidini.

Hebu jaribu kujibu hoja za msingi ya kuwa WHY NOW and NOT ANY OTHER TIME huyo Dr ameamua kupeleka mashambulizi mfululizo kwa Edo, tena mbaya zaidi akifanya timing na uanzaji wa utekelezaji wa cyber crime law.

Edo ni Martin Luther katika ubora wake kwa hiyo wazazi na walezi hawawezi kuvumilia mtoto wao awe mwiba.
 
bado sijakuelewa umeongea nae mwakyembe kama rafiki au kama mwandishii wa habari? najinsi ulivyo andika inaonyesha kwambaa umeandikaa taarifa kamaa mwandishi wa habarii kwa mazungumzo ya kirafiki au ya kawaida ambayo siku zote ni yasiri haikutakiwaa wewe kuongea hivyoo au kuandika kama ulivyofanyaa! najinsi ulivyoandika inanithibitishia na ww unatumiwaa! kwa akilii ya kawaida kwa nini mwakyembe akuambie dr slaa anatumiwa na ccm na chama hicho kinakanusha hiloo! na inafahamika jinsi ganii mwakyembe alivyo katika chama!
 
Wanabodi,


Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ukiendelea, 15th August 2014 nilikutana na mtu, akaniambia mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Magufuli na akanipa sababu za ni kwa nini Magufuli!. Mimi niliupandisha uzi huu,
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!, ili kuwafahamisha wana jf kuwa mgombea wa CCM ni Magufuli, lakini sikuziweka hizo sababu za kwa nini ni Magufuli na ni kweli imekuja kutokea mgombea wa CCM ni kweli ni Magufuli, lakini mpaka hii leo, hizo sababu za why ni Magufuli, ninazo, nimezihifadhi tuu bila kuzitaja, cha muhimu ni imetokea kama nilivyoeleza ila kwa wana jf waliousoma uzi ule they were the first to know!.

Hivyo tuendelee kuifuatilia jf and be the first to know.

Nawatakia Jumamosi Njema.

Pasco.
Kwaiyo unataka kusema na mwaka huu ni CCM tena?
 
Mimi ni RC lakini katu sisupport Magufuli kama mgombea wala Dr Slaa kwa usanii wake. Kwa hiyo kama wanafanya hiivyo kwa sababu ya kuamini RC watawasupport, basi wamegonga nje. Na nasema na kuomba wazi RC tafadhali msisupport CCM maana kwa hakika ndiyo chanzo cha matatizo yetuu mengi hapa Tanzania. Na kama Dr Slaa angekuwa mgombeaji wa UKAWA,ningemsupport sio kwa ajili ya RC wake bali chama (upinzani). Shida yangu lazima CCM ifike mahali iende maana inatuona watanzania wote kama hamnazo hivi kwamaba hata ikiiba, ikafanya inayo yafanya hivi sasa hatuna namna nyingine.
 
Ingawa Pasco umesema kuwa Dr Slaa amepewa jezi no 33. ili kuiongezea nguvu ile timu ya makada 32 wa Sisiem wanaomfanyia kampeni Magufuli na unaendelea kueleza kuwa huyo 'Yuda Iskariote' ameelekezwa mashambulizi yote ayaelekeze kwa Lowassa na asimguse 'swahiba' wake Magufuli, lakini kwa bahati mbaya jana usiku wakati wa mahujiano maalum Star TV, mpiganaji huyo kama ambavyo wakati mwingine hutokea uwanja wa vita zile risasi ulizodhamiria kumpiga adui zika-backfire na kumpiga miongoni ya wapiganaji wa kikosi chenu.

Vivyo hivyo ndivyo iliuvyomtokea Dr Slaa wakati alipoulizwa na mwendeshaji wa kipindi hicho aeleze kama Dr Magufuli ni clean 100% ndipo Dr Slaa kwa 'ajali' akatamka hata huyo Magufuli siyo clean kihivyo, kwa kuwa naye ana skandali ya kuuza nyumba za serikali na mbaya zaidi nyumba zingine kawauzia hawara zake!

Hayo siyo maneno ninayomwekea mdomoni Dr Slaa, bali hakika aliyatamka na nadhani hata hao maccm wanaomtumia sasa hivi watakuwa wanakuna vichwa kutokana na impact itakayotokana na maneno hayo hata kama watajua kuwa 'mtu wao' aliitoa kauli hiyo kutokana na ulimi kuteleza!
Lakiini alisema ukweli lazima uwe na egemeo na akasema kwa sasa ukweli wake una egemea CCM kwa kutoa Sababu kuwa UFISADI wa magufuri yani tuhuma za Magufuri ni Very peanut..kulinganisha na UFISADI wa LOWASA hivyo katika kuchagua kimoja kati ya VIWILI MAGUFULI NA LOWASA ...KURA YAKE YAENDA KWA MAGUFULI..

HIVYO ALINA SHAKA KUWA KUANZIA SPEACH YA AWALI AMESHA SEMA WAZI UKWELI WAKE WOTE ANAONGEA SASA KAMA PADRI MSTAAFU...NA SASA MZALENDO KWA NCHI YAKE UKWELI WAKE KWA SASA WASIMAMA UPANDE WA CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Mimi ni RC lakini katu sisupport Magufuli kama mgombea wala Dr Slaa kwa usanii wake. Kwa hiyo kama wanafanya hiivyo kwa sababu ya kuamini RC watawasupport, basi wamegonga nje. Na nasema na kuomba wazi RC tafadhali msisupport CCM maana kwa hakika ndiyo chanzo cha matatizo yetuu mengi hapa Tanzania. Na kama Dr Slaa angekuwa mgombeaji wa UKAWA,ningemsupport sio kwa ajili ya RC wake bali chama (upinzani). Shida yangu lazima CCM ifike mahali iende maana inatuona watanzania wote kama hamnazo hivi kwamaba hata ikiiba, ikafanya inayo yafanya hivi sasa hatuna namna nyingine.
Pole ujitambui nani alikwambia watu Tanzania wanachagua kwa kuanglia watu wanatoka Kanisa gani...au nyie bado mnaa amini kwa mgombea liyepita pita kwenye makanisa na misikiti ndio atapewa ukuu wa Nchi hii.Thubutu yake mwisho kwa Gwajima....
 
Hata mimi nimeshangaa.

Kwa sasa wanafanya njia zote chafu ili kupambana na hoja za Dk. Slaa.

Kwanza ametoa maelezo marefu ili kujenga hoja ya kutaka kutuaminisha kama ameongea na Dk. Mwakyembe lakini kitu muhimu anachoshindwa kukifanya ni kutueleza yeye ni nani? huyu Pasco ni nani hapa Jamiiforums. Kwa nini asije na jina lake ambalo ni verified ili ampe nafasi Mwakyembe ya kujibu hoja kama kweli alikutana naye.

Pili, anajaribu kunogesha hoja zake kwa kusema Mwakyembe alidai alikuwa na so and so huku akisahau kuwa msingi wa bandiko lake ni kutueleza yule aliyekuwa na Mwakyembe. Kwa nini asituambie huyo so and so ni nani, lakini kikubwa, anajichanganya katika maelezo yake kwa kusema kuna posibility Dk. Slaa amehongwa lakini hitimisho lake anamalizia kwa kusema Dk. Slaa amehongwa.

Hakuna suala gumu kama kuujengea hoja uwongo ili uonekane ukweli.

Hizi ni propaganda za kizamani sana ambazo haziwezi kujibu hoja za Dk. Slaa.

Mbona mimi naiona picha anayotoa Pasco na sioni kama amesimama upande wowote.Inahitaji akili kubwa kujua kwanini anatamka so and so na amesaidia kutoa nusu kuliko angekaa kimya.Bora moja kupokea kuliko kumi za kuijia baadae.Big up Pasco japo kuna kipindi ulimsaliti mamvi baada ya mchakato wa Dom na kusema Mapadlock ni jembe.
 
Pasco, laiti usingelikua na upande unaoegemea ungekua mwandishi mzuri sana, lakini kwa kua hivyo ulivyo umekua hovyo kabisa

ndiyo maana hata huna namna nzuri ya kumsema Mtu.

Umekua Kanjanja kwa kufuata maslahi hata umekosa upembuzi yakinifu kufanya sie tunaosoma mabandiko yako tukudharau,

kumbuka hii ni Siasa Dr Slaa yuko vizuri alichosema ni ukweli wewe na kundi lako mmeshindwa kuelewa Principle's za kukabiliana na Shahidi aliyeshuhudia na anaongea UKWELI mahakamani, Wakili makini hamuulizi kabisa maswali Shahidi wa aina hii.

Yote yanawezekana ktk Siasa kama Lowasa kanunua/kanunuliwa basi hata Dr Slaa anaweza kununua/kununuliwa, kama Siasa ina bei.

CCM wasingekaa kimya wakati UKAWA wakishangilia nadhani utakua umenielewa,

kwa jinsi mlivyo panic CCM kama wamelipa bei kwa Profesa Lipumba na Dr Slaa wanaongoza 2-0 mpaka sasa.

Na kama mtaendelea hivi mnavyoenda siku 50 nichache sana kurudi kwenye line mmekwisha.

Wasalam
 
Waandishi wa habari wa tanzania ni bure kabisa na siku nyingi huwa nawashangaa sana,, lakini nashukuru Dr naye aliwashangaa sana,, hamfanyi uchunguzi, Huwa si wakweli, wengi wamewekwa kwenye mifuko ya matajiri, wako kimaslahi,, watanzania wanapotoshwa na kuaminishwa ujinga mwingi na hawa waandishi,, leo hii mwandishi unageuka kuwa mpiga kampeni wa watu fulani na si kusimamia misingi itakayolifanya taifa lako lisonge mbele..
 
lakini mwakyembe ina maana hakujua kuwa kuonekana na slaa inaweza kuzua maneno,tena hata sehemu ya kukutania akaifanya hapohapo serena,wakati akijua kuwa macho na mawazo ya wengi yalikua hapo.....



hawa watu usomi wao wanautumia wapi?....
 
Nchii taasisi zenye nguvu baadaya Ccm na serikali inayofuata ni Roman Catholic Church

Magufuli,Slaa wanaunganishwa na church...mengine yote yanaongezeka tu

... halafu tunaambiwa nchi haina dini!
 
Back
Top Bottom