Ana ana do

Sijauona mpilipili na maua yake mchikicho.....mchikicho weeeee mchikicho.....

Bembea eeeeh leo bembea eeeeh

Bembea eeeeh leo bembea mtoto
 
Fagilia fagilia bongooooo.............
kila ndege hutua mti aupendaooo.....
kuku kapanda baiskaeli bata kavaa raizoni......
 
huko huko niliko, darisalam ndiko niliko.....kokokok ndiko niliko
 
Ewe njiwa, ewe njiwa, peleka salamu, kwaa yule kwa yule...
 
Unaikumbuka salamu hii?? Siiiiiiiiiiiiiaaaaaaaasssssa ya ubaguzi wa rangi ni unyama, shiiikamooooo ndugu mwaaaaalliiiiimu!!!! tuulikuwa tunavuta weeee hadi inaboa!!
 
Bai sho ai lav yu bebi
ze bebi tu ze saa
ze saa tu ze yona
ze yona tu ze yuu
ze yu tu ze chuzdei...

ha ha...umenikumbusha longi sana.....hizi nyimbo zilikuwa za kiingereza lakini St Kayumba zetu ndio zilitusababisha tuimbe hivi...kuna moja ilikuwa tunaimba tukiruka kamba sikumbuki vizuri lakini ilikuwa inaimbwa hivi
de ma de
and debula and upside down
oh fish and fish and upside down
tina manebula tina manebu
a b c and d.......sijawahi kujua ilikuwa inamaanisha nini na ni maneno gani yalipaswa yatamkwe
 
Mchakamchaka:

"moto wawaka emama moto wawaka
Moto wawaka moto wawaka motowe wawaka moto wawaka" X3-10

Aubuhi asubuhi ilikuwaga balaa ukikaa darasani akili inafanya kazi fresha.....hawa wa siku hizi sijui kama wana mazoezi haya?
 
Namsitu dawa, dawa eeh dawa
Nilimuomba mchuzi kidogo kanijazia upawa
Nalikwenda msituni, na kobe kanililia
Ningelikuwa na kisu kikali ningemkata mkia
Mselema aaah aah aah, Mselema ningemkata mkia
 
Huu wimbo tulikuwa twarukia kamba...

Nipeleke nipeleke, wapi? mji wa Mwanza
Mji wa Mwanza kuna nini? Jambo limetokea
Jambo hilo jambo gani? Jamila katobolewa
Katobolewa na nani? Mchaga muuza duka
Kwanini kamtoboa? Shilingi imemponza
Kiitikio:
Waa Jamilia shilingi imemponza
Kavaa dontachi namwita anadengua!
Si si si, si mali kitu X2
Kilakshari kilakshari, chaaa Pugu Kariakoo Manzese sukuma waaa
 
Nani anakumbuka huu wa "baa baa black sheep"? Niliuimba sana huu pale IST.....

Baa, baa, black sheep,
Have you any wool?
Yes sir, yes sir,
Three bags full.

One for my master,
One for my dame,
And one for the little boy
Who lives down the lane.
 
Ama katika siku niliokumbuka utotoni, leo umenikumbusha.

Kajamba, ushuzi unanuka,
Sana sana, tena sana.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom