waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,746
Ni movie moja poa sana itafute..Ahaa, sijaiangalia mkuu.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni movie moja poa sana itafute..Ahaa, sijaiangalia mkuu.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
sijakubaliana nae katika ilo kwasababu si mtu wa msimamo anayumbishwa na dada zàke mara he date na mtu wa aina hii mara hii n.k But my self nimejiandaa kwa lolote lile ila wacha niwe na msimamo wangu uishi kwamba siachani naeKwa hiyo umeamua lipi mkuu
Sikuzote usikubali demu anakuacha halaf hapo hapo anataka uwe rafiki yake. Agachangia ww kuto ku move on. Na pia anakuweka kiporo.. iwapo alienae akifeli anarud kwako tena.
Ww pandisha dhamani yako. Muonyeshe you can live without her.
Hiyo itamchanganya sana japo hatokwambia.
Just move on without kujal anawaza nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiwa na Mungu nafasi ya ubinadamu inabaki pale pale na ndo maana hata Mungu mwenyewe alituweka kuwa na wenza na hisia aliziweka yeyeMkuu, Mungu akiwa na nafasi kubwa ndani yako, huwezi pata nafasi ya kumuweka mwanadamu mwenzako uliyeachana naye miaka 2 ilopita kila siku kumuwazia Yeye.
Umekosa balance ya vile uviwekavyo moyoni mwako Mkuu.
kila nyuzi jf utaona zinakureflect weweShe's a soul snatcher I see,kibuti changu cha kwanza kilinifanya nihame nchi kabisa,ila nilirecover ndani ya muda mfupi,na mpaka leo sijawahi kuwa tena na mapenzi kama ya mleta uzi yale ya kifilipino,fairy tale love, mahaba niue type,nakuwa nipo mguu ndani mguu nje,hata akizingua maumivu ni siku mbili tatu tu yanaisha.
Maumivu ya mapenzi yasikie tu kwa watu,yasikukute,hasa uwe umependa ile kindakindaki alafu huyo uliempenda alikuwa na manjonjo,udambwi namadoido yakipekee,yaani kuna kama tonge/donge unaliskia limekwama kooni,uchungu uchungu,stelesi,majuto na huzuni.alafu kila nyimbo inayopigwa unahisi inazungumzia situesheni yako
Bahati mbaya enzi hizo nlikuwa sjagundua maajabu na faida za mmea.
Sent using Jamii Forums mobile app
I am xperiencing the same experience imeelezewa na mjumbe hapo, Cha kufanya Kama bidada hajaolewa mtafute muanze upya, tofauti na hapo this thing will hunt you forever!No formula Chief, nafurahii umefafanua vyema.
Kikwazo ni nn?Wow.
That isnt that simple I would have done it already.
duh! Mhhh ! Mkuu Cute b una mabusara, unatoa wapi hayo maneno mazuri hivyo, I am impressed and inspired kwa kweli na comments zako!All things are difficult before they are easy.. Don't give up!!!
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
sijakubaliana nae katika ilo kwasababu si mtu wa msimamo anayumbishwa na dada zàke mara he date na mtu wa aina hii mara hii n.k But my self nimejiandaa kwa lolote lile ila wacha niwe na msimamo wangu uishi kwamba siachani nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiwa na Mungu nafasi ya ubinadamu inabaki pale pale na ndo maana hata Mungu mwenyewe alituweka kuwa na wenza na hisia aliziweka yeye
Oooh, oooooow.duh! Mhhh ! Mkuu Cute b una mabusara, unatoa wapi hayo maneno mazuri hivyo, I am impressed and inspired kwa kweli na comments zako!
Nakuelewa mkuu...zile feelings huwa haziondokiThere is something called memories bro, that's what pain you the most and it hurt you now when you are lonely while you used to be with her at sometime somewhere....its 6 years now am trying to move on but it's not possible cha msingi bro wew tafuta dogo mkali kumshinda yeye na akuoneshe upendo huyo ex atasahaulika tu.. Mimi napataga Vitoto vinajua caring mpaka namsahau but then wakiondoka narudi in the darkest side of my past
Sent using Jamii Forums mobile app
Si amesema anataka kufa.