AN OPEN LETTER to BAE Systems: Do not return radar money to Tz Government

<EM><FONT size=2>wewe unaona ni sawa nchi yetu kupangiwa matumizi ya hela na serikali ya nje????? <BR>Huna habari kwamba NGO zimekuwa vichaka vya kuiba hela zinazotolewa na wafadhili?<!-- google_ad_section_end --> <BR><BR></FONT></EM><FONT size=2><FONT size=4><BR>na wewe ni wale wale vilaza msiokuwa na uchungu na mali ya umma, bora ngo's, misikiti, makanisa&nbsp;kuliko serikali ya ccm, na nakuambia subiri mwisho wenu ccm unakuja labda mkaishi mwezini ila hapa bongo mtarudisha mali zote mlizokwapua</FONT></FONT>
 
Jamani wahusika wote wa radda upande wa TAnzania hakuna hata mmoja aliyeshtakiwa kwa serious crimes; kama kweli serikali inaaamini iliingizwa mjini wameshindwa nini kumsaka kwa udi na uvumba Vithlani? Hivi kweli wanataka tuamini hawajui alipo?

Halafu hao hao tena kwa maringo walituambia serikali ina mkono mrefu, sasa sijui urefu huo ni selective???
 
Ningependa kuuliza membe je wanyama kupelekwa Quata na fedha za epa kupewa ngo ipi ni aibu kwa nchi yetu jamani mbona hawa ccm ni viziwi na vipofu, uwiiiiii!
 
Membe angelikuwa kweli na uchungu na kulitunza jina nzuri iliyokuwa nalo nchi yetu katika enzi za Mwalimu, angeliishauri kwanza serikali ya Tanzania kuwachukulia hatua wale wote walioshirikiana na BAE system kutuibia, baada ya hapo ndipo atakapokuwa na uhalali wa kupiga kelele anazopiga. Ikumbukwa bila ya kuwachukulia hatua watanzania waliohusika na njama hizi, serikali nzima ya Tanzania inaonekana machoni mwa jumuia ya kimataifa kuwa mshirika mkuu katika wizi huo.
 
Mzarau kwao ni mtumwa Tupinge watu kuturudisha Kwenye utumwa kwa kujitia wana uchungu na nchi Yao, BAE warudishe hela serikalini na utaratibu wa ujenzi Wa Hayo waliyo andika yapewe msisitizo. Tunaanza kuhisi wengine ni mamluki Wa BAE hapa maana kama unawasiliana nao basi wewe ni mwenzao. Watanzania wenzangu kwa nguvu zote Tupinge mkakati Wa kuruhusu fadha yetu igawiwe na wazungu. 70% itabaki kwao Kama management fee na upuuzi mwingine...Tuache Siasa tupende nchi
 
Songa acha 70% wachukue wazungu kama management fee kuliko kukabidhiwa kwa hawa madhalimu pleasee
tumechoka na cinema za bure za sirikali jamani hakuna siasa wala nini tumeamka now days we are not stuped as you think
 
Mzarau kwao ni mtumwa Tupinge watu kuturudisha Kwenye utumwa kwa kujitia wana uchungu na nchi Yao, BAE warudishe hela serikalini na utaratibu wa ujenzi Wa Hayo waliyo andika yapewe msisitizo. Tunaanza kuhisi wengine ni mamluki Wa BAE hapa maana kama unawasiliana nao basi wewe ni mwenzao. Watanzania wenzangu kwa nguvu zote Tupinge mkakati Wa kuruhusu fadha yetu igawiwe na wazungu. 70% itabaki kwao Kama management fee na upuuzi mwingine...Tuache Siasa tupende nchi

ukisikia akili ya mtu ni tope ndo hii sasa
 
Jamani hii hela siyo refund, siyo compensation, siyo restitution wala siyo reparation. Siyo HAKI yetu kuipata. BAE walipokubali makosa hawakukubali makosa ya kuturusha au ufisadi au rushwa! Walikubali makosa ya kihasibu tu yanahusiana na utunzaji wa kumbukumbu. Na hata makubaliano ya kutoa fedha hayakutolewa na mahakamani makubaliano tu kati ya BAE na SFO. Hivyo fedha hizo kweli kabisa zinatoka katika wema wa BAE ili wasichunguzwe zaidi. Tanzania kama inataka fedha "zake" iwashtaki wahusika, itaifishe mali za Vithlani na kupiga marufu makampuni yake kufanya kazi tena. Wauze ofisi zake n.k

Inashangaa mtu kakimbia tunashindwa kumshtaki in absentia?
 
Ngoja tuandike Email hadi tuzichakachue kama wao wanavyofanya.....

Tutatumia hadi Email za marehemu kama mchezo wao mchafu unavyokuwa siku zote hapa Tanzania.

Ni heri pia nakala zipitishwe hadi BBC, CNN, Aljazeera, NBC nk ili watu wengi wajue uozo unaoendelea.

Pia nakala kwa nchi wafadhili ili ikibidi basi wasimamishe misaada yao ambayo inawapa kichwa na kiburi wahusika.

Hivi kwa nini wanaikomalia GREECE ifanye reforme na kubana matumizi ila Tanzania wanailea kila siku?

Wanaona jinsi viongozi wanavyozurula kila siku majuu na kutumia mashangingi na kulipana posho na wao wanazidi kuwapa tu hela zaidi?

Lazima tuwakalie kooni ili hizi fedha ziende moja kwa moja kwa wananchi. Ikibidi basi heri hata watuongezee kidogo na wainunulie TANESCO Generator moja kubwa na mpya kabisa kutoka kiwanda chao cha Rolls Royce.........

Zikija hizo pesa basi sintashangaa kuwa Membe akawa anazisubiri ili afanyie kampeni yake mwaka 2015 ya kugombea U-Rais wa Tz.
 
Pumbavu kabisa, yaani unataka hii mizungu ije hapa kwetu na kulipana mishahara, posho minono, house allowance ktk $ n.k.
 
Mzarau kwao ni mtumwa Tupinge watu kuturudisha Kwenye utumwa kwa kujitia wana uchungu na nchi Yao, BAE warudishe hela serikalini na utaratibu wa ujenzi Wa Hayo waliyo andika yapewe msisitizo. Tunaanza kuhisi wengine ni mamluki Wa BAE hapa maana kama unawasiliana nao basi wewe ni mwenzao. Watanzania wenzangu kwa nguvu zote Tupinge mkakati Wa kuruhusu fadha yetu igawiwe na wazungu. 70% itabaki kwao Kama management fee na upuuzi mwingine...Tuache Siasa tupende nchi
You are dead wrong to associate the idea of not returning the money to the government and colonialism. The government of TZ has lost the moral authority to manage that money. You can't suggest to return the money to a thief or isn't that what you are suggesting?
 
Mimi sina muda wa kujibishana kwenye hili, tayari nimeshatuma copy yangu, na nitafunguwa email hata 1000 ili kutuma copy hii. naomba kila mzalendo wa kweli afanye kazi hii.
 
Wasiwape hoa majambazi ni bora zielekwe NGO kuliko kuingia kwenye mikono ya Serikali ya Maharamia. Na mimi nime-copy na kutuma Email na nimewaandikia kuwa Serikali ya Tanzania is more corrupt Hasa Huyo Membe na Kikwete
 
Basi ukimsikia Membe anavyokomalia hela za BAE zipitie serikalini huku akiwa amejaa jazba na mzuka utadhani ana uchungu wa kweli na watanzania. Kama kweli ana uchungu kipi cha msingi, pesa kurudi serikalini au kuwafutilia mbali wale wote waliocheza dili la kifisadi ili iwe funzo mambo haya yasitokee tena? Membe anaonekana tu chizi mbele za watu wenye akili timamu. Pesa ikirudi kwenye serikali hii hii ya magamba, kwa viongozi hawa hawa wasio na chembe hata kidogo ya uzalendo itatafunwa tena kifisadi. Mafisadi wa ccm washakula nyama ya mtu hawawezi kuacha! Naungo mkono this open letter to the British Government.
 
Wakuu naomba msaada hapa wa kuelewa: Hizi fedha zilizorudi ni pamoja na zile kutoka account ya Chenge kule UK? or i am missing a point?
 
Back
Top Bottom