An Expatriate’s Email From Tanzania

Hii kitu hata kama ni ya kutungwa, ina ukweli fulani ndani yake! Mi ninahakika hawajamaa hapa kwetu wanaisha maisha ya peponi, kwa sababu anything they need the get for almost free! Makwao maisha ni magumu, hawawezi kuwa na vitu vyote wanavyovipata hapa wakiwa huko kwao!

Lets change the altitude, tuache kuwatetemekea hawa jamaa....wanameshatunyonya sana na bado wanaendelea tu????
 
Mhhhhh....!!!! Tumekwisha...!!

Hawa jamaa ni MASIKINI wa kutupwa huko makwao, na sisi bila kuchunguza tunawapa

facilities za hali ya juu wakija huku..

UMASIKINI NI SHIDA MNO.. Kuwakwepa hatuwezi, tunawahitaji!!...

Msiogope juu ya hiyo ishu ya kuwaokota malaya mitaani, kwani kwao ndo imebobea, na

UKIMWI hautamwachilia mpumbavu huyo..!!

PUNDA AFE, LAKINI MZIGO UFIKISHWE KWA TAJIRI...NA MTUMIKIE KAFIRI UPATE MRADI

WAKO...

Nina Hasira na VIONGOZI....
 
wewe umechukua email iliyotumwa na watu wengine umei edit na kuweka TZ
kijerumani, kiingereza, £, $ kuwa sehemu moja......
mshahara mwingine kautaja kwa dola, mwingine pounds....
 
The story mayb cooked ,we dont knw the source, but the messages in the letter are raw and real, i know too many wazunguz that think like this tena especially kwenye issue ya prostitutes he is on point..they love malaya kwenda mbele.
 
sasa tuje na mpango kazi wakuu
muhimu kurejesha heshima kwani hii ni aibu
 
sasa ninyi ni kwa nini hivi mnawapapatikia hao wazungu?

Ni umaskini wa fikra: na negative mind set!

Mimi nina sera: simpatikii mzungu: nawaheshimu tu binadamu!
 
We acha tu hiyo ya viongozi wanapenda kutembea na wazungu nimeipenda. Si hivyo tu, hata dada zetu wakimpata mzungu hata kama ni hohehahe jika na babu yake basi atakavyojishaua utasema basi hakuna kufa tena. Ila ni ukweli kuwa wazungu wachache sana wana mapenzi ya dhati kwa mwafrika!!!! Na Tz ndiyo usiombe!!!
 
Na wanaume nao hawapendagi wadhungu wa kike? :D
 
This is really sad....Lakini huyu mzungu, kwanza ni mshamba tu, pili ni masikini vilevile! Sasa anashangaa nini kuwa na gari jipya na kuwa na maisha mazuri? Anaonekana huko kwao alikuwa ana maisha magumu sana;-) Juu ya dada zetu....no comment there maana kila mahali na kila nchi hii biashara ipo. What to do?
 
Typical wazungu!
huko kwao si lolote si chochote.Wakifika huku wanatetemekewa na kufanywa kama miungu wadogo..nao kwa vile maskini kapata basi huendeleza dharau na kutuchora kama hivi.
 
This is really sad....Lakini huyu mzungu, kwanza ni mshamba tu, pili ni masikini vilevile! Sasa anashangaa nini kuwa na gari jipya na kuwa na maisha mazuri? Anaonekana huko kwao alikuwa ana maisha magumu sana;-) Juu ya dada zetu....no comment there maana kila mahali na kila nchi hii biashara ipo. What to do?

Expert my fo*t!
.......hawa ndio wale walio jobless nchini kwao wakija kwetu tunawatetemekea na kuwaita ma-expert na kuwalipa pesa nyingi kwa kazi ambayo mtanzania anaweza kuifanya! .....hata mwenyewe haamini kama kaukata ndani ya nchi ya wadanganyika!
 
We acha tu hiyo ya viongozi wanapenda kutembea na wazungu nimeipenda. Si hivyo tu, hata dada zetu wakimpata mzungu hata kama ni hohehahe jika na babu yake basi atakavyojishaua utasema basi hakuna kufa tena. Ila ni ukweli kuwa wazungu wachache sana wana mapenzi ya dhati kwa mwafrika!!!! Na Tz ndiyo usiombe!!!

Nimecheka sana hilo la viongozi wetu kuwalipa wadhungu ili waonekane kwenye shughuli zao,kuhusu dada poa hilo ni ulimwengu wote,kwa waliopita au kusikia mambo ya Thailand ataelewa.
 
The man says that Tanzanians are good people. So I do not see anything wrong with what he is writing. Also,he likes to abuse prostitutes. Well,he can abuse prostitutes as much as he likes,that is what they are there for.
 
what a shame....just imagine how many times and to who such email will be forwarded, we can not blame the sender he is only reporting his experience in Tanzania while implementing one of the big PROJECTS (most likely), such a shock and embarassment to the Tanzanians...u can notice the guy is even supprised by the treatment he receive, he doesnt deserve it...and actual this is what is happening to most of the big projects funded by govenment or world financial institutions like WB o IMF, we get "overpad expatriates" who can not even deliver...it has happened so many times in Vodacom, only to realize after the world economic downturn when they have to cut their opex...same thing is happening in so many areas..Zain...an expatriate is paid 10X of the felow TZn for the same shit*** they do and sometimes the TZn is far better engineer....

watawala wameshindwa kututawala.....watawaliwa waitwae nchi yao....
 
Kwa nini mjerumani amwandikie barua mwenzake kwa kiingereza na kuchanganya kwa sentensi chache sana za kijerumani, tena mara nyingine kibovu? Nahisi hii barua ni ya kutungwa, ingawa hizo fikira zipo sana kwa wengi wa ma expats.

Umesoma utangulizi wa jamaa? hiyo ni email iliyovujishwa
 
Back
Top Bottom