An Email that was massively circulated in 2005 titled Kikwete na Lowassa 2010

benebantu

Member
Mar 12, 2010
17
0
Ninaomba yeyote mwenye ile Email titled Kikwete na Lowassa 2010 iliyosambazwa sana njia ya baruapepe mwaka 2005 atukumbushe kwa kuitandaza hapa janvini
 
mie nilidhani ndo umetuwekea kumbe unatupa kazi!Hebu tupumzika kabla ya sekeseke la Magufuli
 
Mkuu toka 2005 mambo mengi yamebadilika, wakati huo hapakua na sheria za makosa ya mtandao, japo skubahatika kuziona content za hiyo email ina kwa hali ilivyo sasa naamini mambo maudhui ya hiyo barua pepe yatakua yamebadilika sana. Ingefaa zaidi kama ungegusia japo kwa uchache yale yaliyokua kwenye hiyo email.
 
Back
Top Bottom